software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Khalifab, Jul 7, 2012.

 1. Khalifab

  Khalifab Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakubwa naweza pata software ya kuflash simu aina yeyote??PILI MLANGO WANGU WA COMPUTER YANGU(DESKTOP) UNASUMBUA SANA KUFUNGUKA PAKA NICHOMEKE KIPINI NDO UNAFUNGUKA NAOMBA MSAADA.
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kuflash simu easy tafuta choo cha maji na si cha shimo itie humo na uflash kwa maji itapona na kuhusu kufungua kwa pini ni dalili kuwa kuna bolt ama nati imejam so tafuta grisi na oil uweke kulegeza ili ifunguke kwa msaada zaidi piga simu
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,197
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kama kawa we ni mkali aiseeee , mkali sana
   
 4. Mr Ngoma

  Mr Ngoma Senior Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hakuna software ya kuflash simu zote!
  Ila zipo software za kuflash simu in group (kama samsung, sonyericson, motorola, sharp, lg siemens na baadhi ya nokia) na ni software na hardware zake. Kuna software ya simu za kichina zote ila ipo na hardware zake!! Kwa msaada nipigie 0715266772 maana ninazo hardware na software za plus training utapata.


   
 5. Gilala

  Gilala Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ushauri mwingi lazima uchoke.
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,194
  Likes Received: 880
  Trophy Points: 280
  Kumbe we Mopaozi hizo ndio akili zako?unapoteza muda na pesa yako kwa kuandika huu utumbo,kwa mtu kama wewe kuandika hapa hayo majibu ni MAMBO YA AIBU,UNAHARIBU SIFA ZAKO
   
 7. N

  Nyasiro Verified User

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  huo mlango cdhan kama unaweza kutibika nunua mwingine
   
 8. Khalifab

  Khalifab Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alonijibu vizur thanx na alonijibu utumbo thanx2
   
 9. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kuna forum ya comedy humo ndani nafikiri itakufaa na wa2 kama masanja watatamani kufanya kazi mawe. Hapa ni sc. na techno tu.
   
 10. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa mawazo ya wachangiaji hapo juu.....I doubt if JF will continue to be 'the home of great thinkers!!!
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,800
  Likes Received: 1,187
  Trophy Points: 280
  Dah!!mawazo na fikra zimeenda likizo zimemuacha jamaa anaweweseka mtaani...ungetulia usubiri fahamu zikurudie maana kwa mwendo huu unaweza kujikuta umeingi chakiume halafu ukashangaa watu wanafanya kazi na wewe zikikurudi watu walishapita siku nyingiiii!!!
   
 12. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mwana umenifurahisha kinoma.
  Shukuru Mungu humu ndani hatuonani Live kama tungekua tunakutana Live.... Aiseee ungepigwa ngumi.
   
Loading...