To:Faiza Foxy, nakuomba kuwa muungwana kwa kutuomba radhi sisi wachagga kutokana na bandiko lako.Haitakugharimu chochote na siku za usoni ujisikie haya kutukana makabila ya watu.
Nauliza nywele bandia zinakuwa ni cosmetics hatarishi au hapana.Napendekeza ziwekwe kama hatarishi kwa wale wenye umri mkubwa ambao wakizivaa wanakuwa very artificial au kama Mwanasesere(kinyago)
Ni wazo zuri, lakini wachukuwe tahadhari wasije wakapata yaliyompata Mzee Warioba au akatokea mwendawazimu mwingine kama yule wa pale Diamond Jubilee akawavunjia wazee wetu heshima na wasindikizwe na kauli ya kwamba wamejitakia wenyewe...hawa vijana aina ya DC bado wako.
Duuuuuhhhh mambo juu ya mambo,ama kweli tunafanywa Mabwege ile mbaya.Hebu nikuombe kama unazo picha za uzinduzi uliofanywa na Mh. Hawa Ghasia tuwekee ili hawa wakubwa wajuwe na sisi tuna akili,siyo wao tu.Au Mh.Rais kapigwa changa la macho...
Polepole watu walikupenda saana wakati ule wa katiba ambayo mpaka sasa haijulikani iko wapi na hakuna taarifa yake..kama una habari tujulishe.Lakini sasa hivi naona kama unaanza kupoteza upendo waliokupa wananchi.Hebu achana na vyombo vya habari.Hata Amon Mpayo anavyokwenda inawatia wananchi...
Huwenda wakazi wa Kigamboni nao wakapata hiyo nafuu au inaweza tafsirika kuna Double Standard kwa watanzania ambao katiba yao inasema wote ni sawa.Kwa Mh.Magufuli tendo hili linaweza kumkosesha kura za wale wanaotumia vivuko vya serikali huku wanalipia kama kigamboni,pangani nk..nk.Kama...
Tuko katika dakika za mwisho za kumaliza application itakayotuma sms kwenye mitandao yote ya kuipigia kampeni UKAWA wakati wa kampeni ukianza.Swali ni je watakubali hizo sms zirushwe..?? Tumeona Kova alipiga marufuku kumsindikiza Lowassa na hatujui kama kumtambulisha itaruhusiwa au vipi na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.