Recent content by Gibo

  1. G

    JamiiForums Tanzania CCM yamjibu Gwajima, yawaomba wanaCCM kupuuza uongo, uzushi na ushauri hasi wa Askofu Gwajima

    Aliyeshindwa ubunge ameanza ukorofi.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tumewajua mapema: Miezi 6 uwanja Chato, miaka 24 uwanja Butiama no!

    Nyie mbona mmeiba mkajenga kwenu hatusemi?. Halaf hilo suala mbona ni uongo wa mchana kweupe....mimi niko bungeni nyaraka zote ninazo za bajeti hayo mambo hayapo. UKAWA wamebaki kutapatapa kuwa mawakala wa mafisadi. Umesema upo bungeni jina lako nani?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Ryoba bado unajipanga TBC?

    Bunge live
  4. G

    JamiiForums Tanzania UVCCM: BAVICHA wamepoteza dira, Vyama vya Siasa, viache kuingilia suala la LUGUMI

    UVCCM naomba maoni yenu kuhusu mchakato wa kuipa Lugumi ile tender. Kwenye mtizamo wenu naomba mchambue gharama halisi za mkandarasi na gharama za mshauri mwelekezi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hakina demokrasia wala maendeleo yoyote

    Mti wenye matunda ndio hupokea mawe kwa hiyo sishangai kauli kama hizi za a.k.a sirluta
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Z. Kabwe, kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama Jijini Dar

    Ee Mwenyezi Mungu tusaidie. .
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

    Inaonekana wewe uliyeleta agenda hii ni JIPU kwani hizi si zama zile za kufunika mambo mgombea mmoja na kivuli. Tafadhari naomba tafakari na kuzipima hoja zako.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Bunge Kutokuwa Live, nani anastahili Kulalamikiwa?

    Hakuna jambo linalonikwaza kama la kuishi kinyume na uhalisia unaojaliwa na Mungu. Iko hivi Mungu akikupa akili ya kufanya jambo usipo tumia hiyo akili kwa kuitendea haki kuna siku akichukia anaichukua kwa sababu haifanyi kama vile alivyo ikusudia ifanye. Kwa hiyo naomba RANGI NYEUPE IBAKI KUWA...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Mkuu Majaliwa aliyoitoa leo tarehe 22.04.2016

    What you are doing time will tell
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Mkuu Majaliwa aliyoitoa leo tarehe 22.04.2016

    CCM MNAJITENGENEA CHUKINZAIDI KWA UBABE WENU WA KUTOONYESHA BUNGE LIVE. NAKUMBUKA MLISEMA NI GHARAMA KUONYESHA LIVE WAACHENI WENGINE WAONYESHE LIVE LAKN KAMA NI WAFANYAKAZI KUTOFANYA KAZI KWA SABABU YA BAADHI YA STAFF KUANGALIA BUNGE OFISIN KWANINI MSIPIGE MARUFUKU TV MAOFISINI?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nape, kuna maana gani marudio ya Bunge kuwa usiku wote huu?

    CCM MNACHOKIFANYA MADHARA YAKE MTAYAONA MIAKA IJAYO.HATA WALE WACHACHE AMBAO TUNAMFURAHIA JPM TUTAWAGEUKA TU ILI TUWAPIGIE KURA WATAKAO TUNAOFIKIRI WATARUDISHA BUNGE LIVE. FIKIRINI UAMUZI WENNU KWA UPYA.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Alichojibiwa Mkuu wa Wilaya Baada Ya kuomba Mchango wa Mwenge Kwa Mbunge

    KWA JINA LA YESU KRISTO EWE BABEL ANGUKA, ANGUKA, NASEMA UMEANGUKA KWA DAMU YA YESU. AMEN.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kituo kipi cha TV kitaonesha Bunge la bajeti litakuwa Live?

    Kulazimisha jambo ambalo kwa wakati huo halikuwa sahihi mm siafiki mpaka kesho na halifutiki kirahisi. Mheshimiwa JPM naomba uwasaidie Watz kupewa kile wana amani nacho. Barikiwa.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kituo kipi cha TV kitaonesha Bunge la bajeti litakuwa Live?

    KATIKA HILI KAMA KUNA UNAFIKI WOWOTE AU KUNA JAMBO LINATAKA KUFUNIKWA KWA BUNGE KUTOONYESHWA LIVE NAOMBA WAKUMBUKE BILA MUNGU.HAWAWEZI KUSAFIRI SALAMA NI HESHIMA TOLA.KWA YEHOVA ONAYOWATUNZA LAKN PIA WAKUMBUKE MUNGU HADHIHAKIWI CHOCHOTE APANDACHO MTU NDICHO ATAKACHOVUNA. Ukimdharau Mungu leo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    EE MUNGU WANA WA ISRAEL WALIPOKULILIA ULIWASIKIA UKAWASAIDIA NA SISI TUNAOMBA UTUVUSHE.
Back
Top Bottom