Bunge la budget linaloanza kesho litakuwa live kwenye media yeyote? maana nilikuwa nacheki Habari ITV hapa eti mkuu wa kitengo cha habari cha Bunge anasema live itakuwa kwenye maswali na majibu tu. mwenye habari zaidi atujuze.
Hakuna cha Live wala nini, hiyo channel yao ya bunge itakuwa inarekodi na kurusha kwa muda watakaoona unafaa and obviously watarusha pia vipande watakavyoona vinafaa.
KATIKA HILI KAMA KUNA UNAFIKI WOWOTE AU KUNA JAMBO LINATAKA KUFUNIKWA KWA BUNGE KUTOONYESHWA LIVE NAOMBA WAKUMBUKE BILA MUNGU.HAWAWEZI KUSAFIRI SALAMA NI HESHIMA TOLA.KWA YEHOVA ONAYOWATUNZA LAKN PIA WAKUMBUKE MUNGU HADHIHAKIWI CHOCHOTE APANDACHO MTU NDICHO ATAKACHOVUNA. Ukimdharau Mungu leo ujue atakudharau kesho. Barikiwa.
Kulazimisha jambo ambalo kwa wakati huo halikuwa sahihi mm siafiki mpaka kesho na halifutiki kirahisi. Mheshimiwa JPM naomba uwasaidie Watz kupewa kile wana amani nacho. Barikiwa.
Ni baada ya wabunge kumzomea shein naona watanzania tumepata collective punishment,ila pia serikali pia itakosa publicity na wananchi watashindwa kujua serikali na wabunge wa Ccm wamefanya nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.