Recent content by Giblin

  1. Giblin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

    Kenya sio ya mchezo mchezo
  2. Giblin

    JamiiForums Tanzania Je choo kilaini ni tatizo kiafya?

    Jaribu kutumia Mahindi ya kuchoma Ugali mapera viazi lazima utapata haja ngumu
  3. Giblin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Aiseee hiyo ni serious problem aiseee Fanya Juu chini usolve mapema
  4. Giblin

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kula hii kitu?

    Uyoga huo eti dah ni sheeeda na ugali na maziwa mtindi unaweza sahau shida
  5. Giblin

    JamiiForums Tanzania Mei mosi hiyooo inakaribia tukumbushane ahadi zilizosemwa na hazikufanyika

    Toka Lin mtu aliyejaa kiburi dharau akawakumbuka wafanyakazi?.......watz tushalikoroga tulinywe tu No way out UTAWALA WA SHETANI upo kazin@*****
  6. Giblin

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Madaktari wanaomaliza internship Awamu ya Tano

    dadeeki na bado
  7. Giblin

    JamiiForums Tanzania Ujanja unaofanywa na makampuni ya simu na TANESCO umehalalishwa?

    Kuna jamaa aliwahi sema hapa kuwa kuna ujinga unakuja mkabisha@ tulien jamaa anyooshe nchi@ *malaika*
  8. Giblin

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais zimejaa Hofu na hazina Matumaini

    Utawala wa kibabe
  9. Giblin

    JamiiForums Tanzania Kutokwa uchafu mzito kama maziwa wakati wa tendo la ndoa.

    Picha ya nn jaman achen ushamba bhana Nenda hosptal aisee
  10. Giblin

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa hakikisha leo Rais anaongea kilichosomwa na ulichomwandikia hapo JNIA vinginevyo...

    Hongera kwa ushauri aisee lakin si dhan kama wanaelewa
  11. Giblin

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahudhuria misa iliyoongozwa na Msaidizi wa Paroko

    Mange kimambi ndo habar ya town nan mwingne
  12. Giblin

    JamiiForums Tanzania Tunaporudi kazini jumanne.. Fao la kujitoa tusijisumbue kuulizia tena

    Ni wakati wa utawala wa shetani ngoja tuendelee kujionea maajabu makubwa ktk awamu hii
Back
Top Bottom