Recent content by Gibiba

  1. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Mafao ya ustaafu kwa Wafanyabiashara

    Hodii ndg zangu! Kwa muda sasa nimekuwa natafakari juu ya hii mada lakini pia nilisubiria kama atatokea mbunge hata mmoja wa bunge letu tukufu angejaliwa kushukiwa na roho mtakatifu juu ya hili, lakini haijatokea. Nimeamua kuwasilisha mwenyewe si kwa nia kukwamisha mapato ya nchi wala...
  2. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Hwkima nzuri,hwshima nzuri.Rais wangu mungu akutunze Sana.
  3. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumzia sauti za viongozi waliomteta. Awataja January Makamba na Ngeleja, awasamehe

    Rais wetu kajaliwa hekima sana
  4. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi waliotimuliwa UDOM kuungana na BAVICHA tarehe 23 Julai

    Acha kukurupuka,soma vizuri mleta uzi anasemaje.
  5. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Lowassa ajipanga kuihama CHADEMA

    We huon chanzo hapo juu?
  6. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi waliotimuliwa UDOM kuungana na BAVICHA tarehe 23 Julai

    Mnaomba kuendelea na chuo wakati mnarejesha kadi? Hakuna mjinga wa kuwapokea. Na huo ujinga mliojazwa na wajinga wenzenu mtaujutia cku hiyo.
  7. Gibiba

    JamiiForums Tanzania BAVICHA;Mtalisoma hilo jembe hapo siku ya 23,jully,2016

    Mwenye akili cku hiyo aendi,ila kwa sababu ufipa wengi ni wala msuba,wapo watakaojitokeza.
  8. Gibiba

    JamiiForums Tanzania BAVICHA;Mtalisoma hilo jembe hapo siku ya 23,jully,2016

    Waache tu waje wavunjwe miguu sawasawa,maana upuuzi wao hautavumilika.
  9. Gibiba

    JamiiForums Tanzania BAVICHA;Mtalisoma hilo jembe hapo siku ya 23,jully,2016

  10. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Wana Mkoa wa Mara tumechoka na hili ni tamko letu rasmi!

    Mm mwenyewe wa mara mkuu lakini nakuhakikishia hata mara wapo wengi,sababu sasaiv tunayo makabila mengi mchanganyiko.
  11. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Wana Mkoa wa Mara tumechoka na hili ni tamko letu rasmi!

    Mikoa yote inamashoga
  12. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hoja ya msingi ya kambi ya upinzani bungeni kutoka nje imeonekana

    Wapinzani wa Tz ni uchwara(wasakatonge)
  13. Gibiba

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamsusia Magufuli

    Hao wasakatonge wanahofu kuumbuka tu. Hawana lolote
  14. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

    Muda sii mrefu utaitwa ukatoe maelezo
  15. Gibiba

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio ndege za Magufuli

    Rudia kusoma coment yangu uielewe,acha ucheckbob.
Back
Top Bottom