Mkuu huna kazi za kufanya? Achana na ukoloni wako fikiria mambo ya maendeleo. Chukua muda wako unaoutumia kwenye social issues, then ongeza na muda ambao utakuwa unapekua simu ya mpenzi wako, then utoe kutoka muda ambao ulipaswa ufanye shughuli za maendeleo na kupumzisha akili utabaki na muda...
Wanasema pesa ndiyo kila kitu, lakini kama una uchu basi tafuta pesa kiasi za kuhakikisha unamnasa kupitia outings na vinavyofanana na hivyo. Ukishaonja tu, kimbia usigeuke hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.