serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,354
- 4,763
mm nilikuwa na mjaribu tu nijue kma ana penda pesa au
am sure nayeye alikuwa anapima maji..
mm nilikuwa na mjaribu tu nijue kma ana penda pesa au
Sijaelewa hapa
kuna mwanamke nilimwambia kuwa nina maisha magumu akanijibu kuwa nimwambie ukweli asije jutia je ipo vipi hapa

jifanye bahili hivyo hivyo utaishia kununua sabun kwa mang
una umrri gaani? Facebook upo?