Recent content by ghost_

  1. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Oyaa :D
  2. ghost_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kuna clip manzi anadance kwenye boat ile kila nikiicheck nasema huyu ni Hilda, kucheck kwenye comment kuna mwamba kacomment Hildaah :D
  3. ghost_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    oi INSIDER MAN Mary nae apelekewe moto :)
  4. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana Mkuu, ukawe mtumishi mwema!
  5. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    https://registration.erb.go.tz/login Ingia hiyo link fanya registration. Kila kitu utakamilisha online huko.
  6. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu CDO Lupelengetya(nimekuzoom [emoji3]), kila la kheri ukawe mtumishi mwema.
  7. ghost_

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    Wadau mwenye mbadala wa netnaija atupe link, maana hali ni tete sijui ni nini kimewakuta netnaija
  8. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.
  9. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Saa 9 mkuu
  10. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu
  11. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani mkuu kwa muongozo huu mzuri, hii standing order tunaweza kuipata wapi? Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  12. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema. Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
  13. ghost_

    JamiiForums Tanzania Kati ya Harmonize, Alikiba na Diamond yupi mwenye kifua kizuri

    Diara katoka
  14. ghost_

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview TAESA

    1.Tell us about yourself. 1. What are the core values of an employee? Hayo nakumbuka nilikutana nayo
Back
Top Bottom