Chadema wako juu kwani wamefumua mambo mengi ambayo enzi za chama kimoja hayakuonekana so wako juu japo ni ngumu kukubali ila mwelevu lazima asapoti hiki nachokueleza
Kutokana na mjadala uliopo kuhusu rasimu ya katiba mpya kumekuepo na migongano ya kimawazo kutoka katika kada mbalimbali zikijadili muundo wa serikali wengine wakisema tatu,mbili,moja na wengine ya mkataba. Ninacho jiuliza wengi wanaodai serikali tatu walikuepo wakati muungano unaasisiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.