Recent content by ghilipolla

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi Ally Kessy avunja rekodi kwa kuongea pointi katika hali ya mzaha

    Huyu Ally Kessy ni chizi sasa kama ulaya wanalipiga TV kutaka Tz walipie TV angalau kwanza angepata akili ya kupima uchumi wa UK na TZ, vipi nchi maskini kama Tanzania ambayo ni nchi ya mwisho duniani kwa umaskini umtake raia alipie TV, ivi kweli Ally Kessy amefanya hesabu ya watanzania wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Video: Moh'd Razza Mwakilishi wa CCM Zanzibar alivyokuwa Zanzibar hatimae akaufyata Bunge la Katiba

    Pesa haisemi uongo ccm walijiimarisha sana kule Dodoma kumwaga hela, rushwa za chakula, vinywaji na kila kitu, leo hii mzee huyu anawasaliti wazanzibari yaani huwezi amaini ukichek hii video,
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mh. Jaku wa CCM ajipaka na kujipakuwa Bunge la bajet

    MWAKILISHI wa Jimbo la Muyuni (CCM) Jaku Hashim Ayoub
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mh. Jaku wa CCM ajipaka na kujipakuwa Bunge la bajet

    Nyinyi ni manyani hamuwezi kufahamu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya - Tanzania tunayoitaka

    tunaomba na ka link kavideo live tulio mbali itv
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Pemba: ''Aipasua Kokwa' Jinsi Tanganyika ilivyo inyanganya Zanzibar Mamlaka yake

    Tundu Lissu ni kichwa sana uchambuzi huu si watanzania wengi wanaoufahamu ndio mana watu wanapigishwa kelele na Kinana tu ukijuwa tulikotoka lazima CCM utaikataa kwa hila zao., Nyerere alikuwa Epidomia
  7. G

    JamiiForums Tanzania Lipumba afafanua maana ya kuwaita CCM ''Intarahamwe"

    mtafute Sitta akupatie hansad za lukuvi alivyothibitisha bungeni jinsi alivyofanya utarahamwe makanisani
  8. G

    JamiiForums Tanzania MTIKILA: CCM ni Manyani - Epidomea

    Epidomea ndio inayowasumbua kweli CCM hahahaha haha safi sana Mtikila ww ndio shujaa wa nchi ya Tanganyika, don't give up we love you
  9. G

    JamiiForums Tanzania Lipumba afafanua maana ya kuwaita CCM ''Intarahamwe"

    Lukuvi ndio kiongozi wa kundi hilo la Intarahamwe kwa Tanganyika na Asha Bakari ni kiongozi kwa kule Zanzibar, hawawezi kuacha kushonganisha utarahamwe wao hawa mana wanajaza matumbo yao.,
  10. G

    JamiiForums Tanzania Gari la Matangazo ya Mkutano wa UKAWA ndani ya Visiwa vya Pemba Limenipitia

    Jusa anajiandaa na Arusi kumuoa Bi Asha Bakari mtaalamu wa matusi bungeni
  11. G

    JamiiForums Tanzania Gari la Matangazo ya Mkutano wa UKAWA ndani ya Visiwa vya Pemba Limenipitia

    Nikiwa katika pirika zangu asubuhi hii gari la Matangazo la Mkutano wa UKAWA limenipita na Mziki mnene tunataka nchi yetu, tumechoka tumechoka hatuna aajira....., Kesho watakuwa katika viwanja vya Gombani Pemba. Mh. Tundu Lissu, Mbatia na Professor Lipumba watakuwa wageni wa heshima hii ni bab...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge walio wengi wakosa hoja

    Ata JK angejuwa kama wajumbe wa bunge la katiba watakuja kulinganisha takwimu za kuchaguliwa kwake 26% ya Watanzania na akawa Rais wa Tanzania nzima na takuwimu za Warioba kwamba ni takwimu chache kulingana na idadi ya Watanzania nadhan angeliacha hii point akaja akaeupa hii aibu leo iliyomkuta...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Wamedhihirisha kuwa ni Nchi

    Tanganyika hawajielewi wapo wapo tu, kelele nyingi ata siasa wenyewe wameanza kujuwa juzi tu, mpaka Zanzibar wakokoreke ndio na wao wanajaribu
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Muungano wa Tz bara na Z'bar!

    Kwaiyo unataka kuniambia Tanzania sasa tumekuwa Wakongo au zile nchi nyengine ambazo tunapeleka majeshi yetu kama kule Dafur kusaidia kupambana na waasi ili zile nchi zao ziwe na amani?. na kwa mfano huo Tanganyika madam ilitusaidia kumuondoa Sultan sasa Tanganyika wana mamlaka na kila kitu...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CCM Amwaga Machozi baada ya Kuzomewa na kuitwa Msaliti...

    nimesema huyu mama tunampenda sana, tupo nyumba yake
Back
Top Bottom