hesabu kata ya bassotu linachukuliwa na cdm mgombea wake ni makini sana na ana uwezo mkubwa sana nakupa jina ya romani cypriane mlete wa chama kingine anayeweza kupambana naye na elimu yake ipo juu inatosheleza ni mwalimu amepita vidato na huwezi kumnunua kama wale wengine wanao nunuliwa kwa...
hotuba yake ni kujisifu na kumsifu rais hakueleza akiwa rais atawafanyia nini watanzania je umaskini atauondoa vipi na kuleta uchumi.elimu ataboresha vipi .tanzania ni ya wote hata wapinzani ni yao.bado hotuba yake ni changa saana.kwa urais ni bado sana.
kinana alipofika bassotu kaulizwa swali na mkt wa chadema kuwa mikataba ya mnara wa voda haupo kwa nini.akadai kufichwa na uongozi wa kijiji ambao ni wa chama tawala na katibu akadai hakuna vikao vya kisheria haikufanyika.je ni sahihi kuulizwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.