Recent content by Ggjggj

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, huu ni wakati wa ku-act Udikteta wanaokusingizia. Anza na Jenerali Ulimwengu

    Wahanga wa kuitwa si raia wa Tanzania ni wengi. Wapo na wengine ni wabunge, nk
  2. G

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Hoja yoyote iliyoitikisa serikali ya awamu ya 4 pale bungeni ilitoka upizani. Mfano Epa, Escrow nk. Katika mambo ya kwanza yaliytekelezwa na huyo rais Magfl ni yale yalipigiwa kelele na wapinzani, mfano safari za rais nje ya nchi.Kwa hayo machache upinzani ndio wenye mchango mkubwa kabisa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

    Nadhani arguments za kusema ukawa wanatumia msiba huu kupata umaaru wa kisiasa ni mawazo ya kitoto. Ni ya kitoto kwasababu watu wa kwaza kuhusika na kupata uchungu wa marehemu Alphonce ni familia yake kwanza halafu Chadema(Ukawa) taasisi iliyofanya naye kazi kwa karibu sana na kwa muda wake...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Hata mtoto mdogo huwezi mdanganya namna hii. Baada ya miaka eight, leo ndo inajitokeza kuzumzia Rich-mund. Its non sense.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyakazi tu, mje tujadiliane hapa

    Sijajua kama viongozi wa juu wanapita viwanja hivi. najiaminisha kuwa watakuwa na ma-informer wao. Kama kweli linaloendelea kujadiliwa humu kuhusu Bil. of money walizogawa, basi si muda murefu cwt inaenda kupoteza credibilty yake. Tunadanganywa kuhusu uwekezaji kumbe tunawatengezea ulaji...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Wanajamf mie ni mtu wa kawaida kabisa. Naomba kuchangia kuhusu mdahalo wa Jpili ulioandaliwa na tasisi ya Mwl. Nyerere uliorushwa live na ITV. Binafsi nakubaliana kwa dhati kabisa na akina Butiku, Polepole nk. Ila naomba niseme kwamba wao wanatafakari kama wasomi, wazoefu, wanaharakati, wapenda...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpigia kura Lowassa kuwa Rais wangu

    Mabadiliko ni lazima wala si mtu/chama kupenda. Kama si leo basi kesho historia inasema. Kumbe sasa ni vema yakafanyika kukiwa shwari hivi kulikokipindi ambacho hasira za wenye nchi yao zikiwa peak. Dalili zinadhihiri, pale myuma kidogo usingeshuhudia raia wanakurupushana na polisi na hata...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpigia kura Lowassa kuwa Rais wangu

    Wana Jf nionavyo mimi huu ndo muda muafaka uliosubiriwa kitambo wa kuiweka pembeni ccm iliyokaa madarakani more than a half century. Sababu ni lukuki; 1. Afya Ovyooooooooooo............ 2. Elimu Ovyoooooooooo............. 3. Ajira za Kishkajiiiiiiiiiiiiii............. 4. Mikopo elimu ya juu...
Back
Top Bottom