Binafsi nimemfuatilia kwa karibu Sana dada DORCAS Ni kijana mwenye elimu, maarifa na uelewa Mpana Sana wa kiuongozi. Hakika anatosha kutuvusha vijana wa chedema na taifa kwa ujumla.
CPA Titho kitalika E. Hakika anatosha pasina Shaka kwenye nafasi hiyo aliyoomba. Ni kijana machachari,muadilufu na mpenda chama kwa muda mrefu.
Nami naungana na Wote wenye mapenzi mema kumtakia ushindi katika nafasi hiyo ya utendaji.
Sawa kabisa ndugu... Kwa kuwa kijana amejipambanua kwa CV na hajasema Ni nafasi gani BAVICHA tusubiri muda utaongea... Ila namshauri Sana achukue nafasi ya utendaji wa chama maana hakika itamfaa Sana.
Hakika unafaa Sana kijana. Nakumbuka mwaka 2013/14 ulivyoshiriki kikamilifu kuanzisha CHASO Arusha...
Nakumbuka Sana ubunifu wako mpaka kuanzisha katiba au muongozo wa uendeshaji taasisi hiyo mhimu katika ukuaji na uandaaji wa viongozi ndani ya chama.... Hakika unatosha Sana japo sijajua nafasi...
Duuuh... Hata Mimi ninashangaa Sana Kama Kuna watu wanadhani vijana au wazee hawafai kuongoza...
Na nitashangaa Sana Kama madudu ya Hawa vijana unanaowapigia chapua walivyoharibu na kuendesha nchi kitoto Kama makonda, chalamila ,sabaya n.k ujinga mtupu...
Marekani na demokrasia yake rais...
'' waziri mahiga sawa na nyerere" ? Kivipi mayalla? Nyerere hakuwahi kuruhusu ndoa za jinsia moja katika taifa hili, mahiga juzi tu kutudhihirishia watanzania kuwa ushoga ni ruksa Kwa taarifa ya wizara yake, leo unataka kutuaminisha mahiga ni mzalendo kisa ?
Mayalla acha njaa Kama lilivyo jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.