Recent content by Gfather

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mama wa Airport aliyemdanganya Magufuli alikuwa sahihi

    Nchi ya Mazingaombwe na Viini Macho,
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi 51,000 kambi ya Nyarugusu Kigoma watoweka

    Watanzania kwa kupoteza kumbukumbu. Mmesahau operation iliyo wafukuza. Wamerud kwa stail hyo kwenye mashamba yao. Muwe na kumbukumbu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Sehemu zinazoongoza kwa ushirikina Tanzania

    ni kweli kbsa, wachawi Wote waliokuwa wanakamatwa Mbeya walifukuzwa na kutupwa pale. Kikaitwa kijiji cha wa chawi. Waulize mafisa Maliasili waliwah kukamata pale mkaa, roli la tani 10. Walishndwa kvuka.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Mengi awang'ang'ania Zitto na Rweyemamu kuhusu kitisho cha uhai wa maisha yake

    Kama anapakusemea lazima aseme, hajafanya vibaya. Labda wandishi wangemuliza kama tarifa tayari zipo polisi ama vipi. Habari ile sio ya uongo, shida yetu tu wajuaji hata kwa tusiojua .
  5. G

    JamiiForums Tanzania Majambazi wakamatwa baada ya kupora fedha Sinza Dar

    Wanatuachaje' hao?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Watatu wanyongwa mkoani Kilimanjaro na kisha maiti zao kutelekezwa

    Ukimnyonga mwenzio wewe unaishi milele hata kama , ni ugomvi wa kibiashara ama mapenzi utaua wangapi?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mshikemshike Dar, Mbowe na Dr. Slaa walikamata Jiji

    suala si uchaga ukomboz wa Tanzania ni zaidi ya Uchaga. Kuwa na fikra za hvyo ktk Nchi ilopoteza Dira si sifa ni ujinga.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    Suala sio Bavicha. Kwa Tukio la leo umati Huu sio mkubwa. Pia Viongoz wote wakuu wangeshriki.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Chopa 3 = visima vya maji vingapi?

    Walotumia bilion kusambaza kwa mabalozi wa nyumba kumi na wenyeviti, hizo hazitoshi kuweka visima, ifikie wakati tuangalie uhalisia sio ushabiki.
  10. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

    Binadamu tu Mavumbi, Duniani twapita tu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maduka yote Mwanza yafungwa

    Hivi suala ni kutokuwa na uelewa ama hawajui Matumizi ya kodi?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2012 ni FEKI (yamepikwa) - GREEN ACRES

    lakini jamani wandishi fanyeni kazi kuliokoa Taifa lisiwe la mazezeta, sasa ni halali kabisa kumualika kijana aliefail kuja kwa kipindi cha redio? Ni kipi anawausia wenzake? Kweli crouds mnaboa sna,
  13. G

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    moto mwenge, jamani hata hivyo pale ni kituo cha daladala vibanda vya biashra vya nini? Ulaji wa watu wachahe wasababisha kituo cha daladala kuwa soko, moto huo uwafunze jamani
Back
Top Bottom