Recent content by gestures

  1. G

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Na kuanzia nov. Nisisikie eti kuna wachawi! Maana wakurogwa wapo ila walozi ndio hawapo
  2. G

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    TCRA no wanafiki wakubwa, watu walitukana kukufuru kifo cha JPM na hayo matusi yapo humu hadi leo, mbona hawakuchukua hatua!? Watuachie jf yetu maana mdio sehemu pekee inatusaidia kuondoa stress
  3. G

    Hata kama wakishinda uchaguzi Polepole ameanika wazi uchafu wa CCM

    Nguvu zote wanazotumia kubaki madarakani zina malengo 2 1. Wanajua fika kuwa akiingia Rais ambaye si mtu wao faili la kifo cha Magufuri litafunguliwa maana wahusika wote wanajulikana 2. Wanataka wendelee kuiba na kuiba tena hadi CCM ianguke yenyewe.
  4. G

    Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Ilimradi genge la wahuni baso linaongoza hii nchi, Hamna namna tutamkwepa huyu Mzee
  5. G

    GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

    Mzee Paskali Mzee Paskali, umri wako ni mkubwa sana kuleta utani kama huu!
  6. G

    Kuna yeyote anae mfahamu anaweza jaza Nyuki vituo vyote vya Uchaguzi October,2025 .

    Utachoka tu ndugu yangu, alichosema Polepole ni mbinu moja tu ya CCM kujipatia ushindi, bado zipo zingine 99 hajazitaja. INawezekana hadi kufikia Mwishoni mwa septemba CCM itakuwa inasoma 70% ya ushindi wa mama
  7. G

    Polepole, sasa hilo umeliweka wazi la the Trio- NIDA-CCM-INEC. The big question is WHAT NEXT KUZUIA UCHAGUZI

    Kama ni kosa walifanya CCM ni kuweka utaratibu mgumu wa kumfikia mwenyekiti wao Rais wa nchi chini ya chama chao! Walisahau iko siku atakuja wa kuwanyoosha hata wao na chama chao! Samia ameletwa na Mungu ili awasanue wakubali marekebisho ya Katiba na sheria zote kandamiz ikiwemo tume huru ya...
  8. G

    Hoja ya msingi ni mgongano wa kimaslahi. NIDA ni moja tu ya mbinu kadhaa zilizopo

    Ni kweli mlikis Ema, lakini uwezo wenu wa kilifanua hili ili tuwaelewe ni mdogo!
  9. G

    Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

    Ulivyo na akili ndogo sasa, unadhani hizo nida wanazipeleka kwa hiyari yao!? Inakuja kama amri tu, kila mtumishi ahakikoshe ktk file lake kuna hizo taarifa wanazozitaka.
  10. G

    AMKENI! AMKENI!: Operation Komboa Venrezuela Imeanza

    Napta hisia mbaya inawezekana Venezuela kauzwa na Warusi, kwa mabadilishano na Ukrain
Back
Top Bottom