Recent content by gesssss

  1. G

    Nina mtaji wa Tsh 70 milioni nataka kununua gari la mizigo

    Mkuu una ml 45 zinatosha tafuta fiat yenye uwezo wa kubeba mzigo wa tan 15 ambpo anzia na moja njoo dar es salaam nikuonyeshe biashara yakufanya nina hardware ningepata mtu kama wewe mwenye huo mtj wa ml 45 tungefanya kazi ya cement kuwa agent hyo ella yako inarudi kwa mwaka kama hyo hyo..so...
  2. G

    DSTV kushusha bei za vifurushi vyao kuanzia Septemba Mosi

    Omba mngesgusha kwa 15000 atlist mngepata wateja na local chanel moja kama itv azam wameshawapiku
  3. G

    Vodacom na 'utapeli' wao katika vifurushi vyao washika kasi

    Tafuta airtel huko nilishatoka long time
  4. G

    Natafuta kioo cha sony flat tv nch 32 bei 90,000

    Wadau natafuta kioo cha sony flat cha kwangu ni kizima ila wino wake ndani umeisha nimeplka kwa fundi anasema kioo kimekufa ingawa hakijapasuka wala kukwaruzika popote mwenye nacho ani pm..sony flat nch 32 bei ya kioo nina sh.90,000 mwenye nacho tuwasiline..nipo dsm..
  5. G

    Biashara ya Pumba ya Mahindi

    Eneo mabanda vipo..ni yakuongeza kama mtu ukiweka project mkianza na nguruwe let say 50 kila mmj anauzwa sh.60,000 wa mwez mmj inakuwa lak 3 then unanue pumba gunia 80 @20 sawa na sh.1600,000 prapertion ya mabanda tuseme lak 4 hapo tuwafuge kwa miez 5 wawe na kl 30 kila mmj ukija kuuza kwa kg...
  6. G

    Biashara ya Pumba ya Mahindi

    Kuchinja tunsafrisha kwa kl sh.7000
  7. G

    Biashara ya Pumba ya Mahindi

    Kama una ml 2 na mimi naweka mbil tufanye hyo kazi nguruwe ina lipa na soko lake lipo
  8. G

    Biashara ya Pumba ya Mahindi

    Nilifanya reseach kuwa nikiwa na mtj wa ml 5 naweza nikaingz ml 5 faida ndani ya miez 4 nikiwekeza kwenye nguruwe..
  9. G

    Biashara ya Pumba ya Mahindi

    Yaan nilifanya resech kuwa nikiwa
  10. G

    Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

    Hawa ni matapeli..nasema tena hawa ni matapeli..alafu ckuiz yemeenda kwa walimu wastafu humo kijijini ili ukijiunga wewe uliye stafu ni rahis kuwa na hzo ml 4 na comcomvice mwenzie ajiunge hata kwa mwalimu ambaye hajastaff ili iwe rahic wewe uliyestaff inakuwa rahic kumlipia hyo ml 4 yaaan ni...
  11. G

    Niliyopitia wakati wa kuuza karanga zangu baada ya kuzivuna

    Unajua bhana life is like cicle.na maisha hasahasa kwa mtu uliyetoka chuo..unapokuja kitaa ..inakubd kidogo uwe mvumlv na ucjfanye mjuzi sana..cjui una vyeti..mara una masters..hyo haimati..kinachomata ni akili yako unavyoichanganya...kuna jamaa bwana alihaha anatafuta kazi..aihaso sana kitaa...
  12. G

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Marine inatgmea gage ngap utahtj nitafute private tunaweza kufanya kitu nikupe ufafanuzi zaid nitumie no yako nikuchk then i thnk ninaweza nikakupa ufafanuz vizur ukanielewa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Anaweka mtu..anasimamia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom