Wadau natafuta kioo cha sony flat cha kwangu ni kizima ila wino wake ndani umeisha nimeplka kwa fundi anasema kioo kimekufa ingawa hakijapasuka wala kukwaruzika popote mwenye nacho ani pm..sony flat nch 32 bei ya kioo nina sh.90,000 mwenye nacho tuwasiline..nipo dsm..