Recent content by Gesase

  1. G

    JamiiForums Tigo,voda,zain na zantel nani wenye wateja wengi

    Si kweli, data alizotoa king kong zina ukweli asilimia 100 kwa sababu tigo iko tu mijini hasa dar, pwani na morogoro na zantel iko zaidi Zanzibar. Huku kwingine ni voda na Airtel
  2. G

    JamiiForums Mtanzania mwenzetu akutwa na maafa China

    Tangu lini mlamba Asali akalamba mara moja? Alinogewa
  3. G

    JamiiForums Watalii Wafurika SERENGETI kushuhudia NYUMBU wakirejea NYUMBANI toka Mapumzikoni KENYA

    Ki ukwel ni kwamba huwa wanaenda malishoni na si mapumzikoni.
  4. G

    JamiiForums Watalii Wafurika SERENGETI kushuhudia NYUMBU wakirejea NYUMBANI toka Mapumzikoni KENYA

    Bora ninyi mnaonufaika direct maana mapato yalikua yanaishia midomon mwa mafisadi.
  5. G

    JamiiForums Interview UDSM

    Ok, guys enough!! Interview was held abt three weeks ago.
Back
Top Bottom