1.Vodacom(12m)
2.Airtel(8m)
3.Tigo(5m)
4.Zantel(2m)
5.TTCL(0.1m)
6.Sasatel(0.006m)
7.BOL(0.004m)
Source:TCRA
Kama unafanya field, elective, research ama dissertation. Zungukia hizo kampuni upate data halisi. Ukitegemea humu itakula kwako. Acha uvivu alaaaaah! madent wa cku hizi bana.Naomba data,kampuni inayoongoza kwa wateja ni ipi?
Naamini hizi data siyo sahihi
Naomba data,kampuni inayoongoza kwa wateja ni ipi?
Si kweli, data alizotoa king kong zina ukweli asilimia 100 kwa sababu tigo iko tu mijini hasa dar, pwani na morogoro na zantel iko zaidi Zanzibar. Huku kwingine ni voda na Airtel
tigo inaongoza kuwa na wateja wengi, kwenye phone book yangu 75% ni namba za tigo, 20% voda, 5% airtel
na huwezi amini ninazo laini zote na zote zipo hewani, lakini kwa takwimu ya kupiga na hata kupigiwa naweza kaa hata wiki mbili mtu hajaipiga laini yangu ya airetel !
Naamini hizi data siyo sahihi
Hauna tofauti na ndugu zetu wa dini moja kubwa hapa nchini wanaoiangalia Tanzania kwa macho ya Dsm na maeneo ya Pwani,wakadai wao ndiyo dini yenye wafuasi wengi hapa Tanzania! Huyo jamaa aliyekupatia takwimu za TCRA yupo sahihi!
Naomba data,kampuni inayoongoza kwa wateja ni ipi?
Nenda Arusha,k/njaro,Mwanza,Mbeya,Songea,MAnyara,singida,Dodoma,Iringa,Katavi, Geita, Rukwa,Kigoma Mara,Kagera na n.k kawatajie laini za Tigo kama watakuelewaVodacom wanaweza kuwa na wateja wengi lakini hawaweki vocha na wapo kwa ajili ya Mpesa tu, isingekuwa mpesa nadhani wangekuwa walishatupa laini siku nyingi.
Airtel hasa ni vijijini ndio imetapakaa na ndio mtandao bora kwa vijijini.
Tigo kwa wakazi wa Dar na sehemu za Mjini ndio mtandao wao wa kujidai.
Zantel ni mtandao mzuri hasa kwa matumizi ya Internet ila wateja wengi wapo Zanzibar.