Interview UDSM

Kisiya Jr.

Senior Member
Nov 21, 2011
102
29
I salute to you all.
I hereby to get informed whether the posts advertised on June this year at UDSM the lnterview is already held.

lf you are aware of this, kindly update me.
Thank for your concern.
 
mkuu unaulza swali au unatoa information?
 
Jaman ndo swal au ndo tangazo wadau mana macho ya weng yanalenga hapo

nadhani itakuwa na yeye anataka jua kama wale wa interview wameitwa au vp?muanzisha uzi nadhani majina ya kuitwa ktk interview bado
 
Tatizo lako tangu ulivokaririshwa chekechea hadi leo kwamba hadi uone question mark ndo ujue ni swali.

nilitumia ustaarabu sana kukuuliza lakini kwa kichwa chako ndisebwasi umenunua ligi.
Mkuu kama unasubiri cjui shortlist za ulecturer au any administrative posts at udsm ucjisumbue coz kwa hyo grammar yako shaky huendi popote nyie ndio vilaza wa kudesa vyuoni
-anyway ngoja bac nkupe darasa lingine la bure nililofundishwa chekechea pamoja na ile question marks
1. I salute TO you all= I SALUTE YOU ALL
2. On June= In JUNE
UDSM wakikuchukua ww na rank watashuka maana dessertation zako kwa kiingereza hiko ztapigwa PO kila leo!
 
huna lolote, ulishindwa kuelewa swali unaleta mambo ya on/in, go revise ur schema ndo ununue ligi.
Alokwambia wote walioajiriwa udsm are gud at grammar nani?..we wapi wewe!
 
Jamaa ashajibiwa kuwa interview tayar about 3 weeks ago ila ushauri wa bure akajifunze english course tu hata kwa level ya intermediate itamsaidia hapo mbeleni
 
huna lolote, ulishindwa kuelewa swali unaleta mambo ya on/in, go revise ur schema ndo ununue ligi.
Alokwambia wote walioajiriwa udsm are gud at grammar nani?..we wapi wewe!

Kilahunja nakupendaga wewe changamoto zako, yaan nataman kweli nikuone he he he, kuna siku ulinishushua mpaka basi, jamaa analeta za gramar wakat hajaelewa swali
 
I salute to you all.
I hereby to get informed whether the posts advertised on June this year at UDSM the lnterview is already held.

lf you are aware of this, kindly update me.
Thank for your concern.

Even if it was to be held today,you'd still face a lot of grammar challenges..practice first..
 
huna lolote, ulishindwa kuelewa swali unaleta mambo ya on/in, go revise ur schema ndo ununue ligi.
Alokwambia wote walioajiriwa udsm are gud at grammar nani?..we wapi wewe!

kwahyo we umeona kawaida tu...kumbe mpo wengi wewe na yy wote bozo. Jibu hoja issue ya grammar kashaikubali na najua anaifanyia kazi kwa manufaa yake xo hajakuomba umjibie kama mama ntilie. Sasa kwny hlo swali lake kuna kipi cha kutoeleweka zaid ya hyo grammar iliyokosewa au na ww bac tu unataka kuongeza post zako! Kama ni hivyo nenda forum ya mapenzi kapost humu hapakufai.
Haya kakune nazi.
 
Kilahunja nakupendaga wewe changamoto zako, yaan nataman kweli nikuone he he he, kuna siku ulinishushua mpaka basi, jamaa analeta za gramar wakat hajaelewa swali

nahic mzumbe ulipita level ya cheti halaf ukadisco huwa hatuko hivi kushabikia ujinga.
Kama alikukshushua ukalikubali shushu lake kwamba ni extra large c ungemPM kumpongeza sasa unapost ooh ulnishushua nikalikubali shushu in public
sifa za kijinga! (prof.kuzilwa hakukfundisha hivi!)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom