Recent content by Gervase Rweyemamu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Waziri ataja vigogo wavamizi wa ardhi! Wamo Mo Dewji, Mch. Lwakatare, Patrick Rutabanzibwa

    Nani kakwambia kuwa Mama Rwakatare anatokea Kagera?acha ukabira nenda kwenye point,
  2. G

    JamiiForums Tanzania Siri ya kichapo cha CHADEMA kwenye chaguzi za serikali za mitaa Dsm zaanza kuvuja

    Kwa maisha yapi Dsm?danganya wasiolijua jiji,but pale hamna kitu,ni longo longo tu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Jaribu kupenda elimu,na kama huwezi pendelea kuuliza,usikurupuke kama nyumbu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Uhasama ulioko kati ya CCM na CHADEMA waweza pia kutumiwa na Watu wa nje kutugombanisha

    Unguza kupenda ukapindukia,ina ,maana huelewi tatizo lilipo?Amka
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Wa-Tanzania hasa wa LEO wanadanganywa na lugha nyepesi hivi?hujafanya tathmini sahihi,wa-tz wa leo wanajijua,na wanajua thamani ya nchi yao na utu wao,acha porojo za kisiasa,na Kama hauko Arusha,mwambie mtu anayeijua Arusha akwambie siasa za Arusha,huku hatutaki longo longo,ndio maana Mwigulu na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lema na Mbowe wajichanganya

    Mhmmm!
  7. G

    JamiiForums Tanzania CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

    Ukapimwe wewe,sio mzima
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Kama bei ilikuwa tshs1200kwa kilo,biashara ilipoharibika kwa nini hawakutoa taarifa kwa wakulima ambao ndio partiners wao kwenye hiyo biashara?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    Inaonyesha siku hizi makanisa yanawapa nyadhifa hata watu wasio na maadili ya kikanisa,au ndugu yangu wewe ni mwenye mtizamo wa dini yningine(ambayo sio ya kikristo)na ueamua kutumia JF kukashifu wakristo kwamba hata wazee wao wa kanisa ni wazinzi?ujue sijakuelewa,Acha kutafuta umaarufu kwa njia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania MSIBA:Kokudo afiwa na mwanae . . . . . !!

    Pole sana ndugu yangu,ndio Maisha yalivyo,wakati mwingine ni mafupi mno, Hamna shaka,little baby amerest in peace,
Back
Top Bottom