Recent content by Gervas Makalo

  1. G

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    Kuna MWAKA wa huyu Mzee kugombea urais alisikika askari mmoja alisema hadharani Kikwete ni chaguo la Mungu mheshimiwa alifurahi sana Leo hao waliomsifu wametoa tamko juu ya ULINZI WA mali za taifa analalamika maaskof wasilete udini ila kwenye kampeini watumike Sent from my TECNO KH6 using...
  2. G

    Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Hawatapelekwa mbeya mahakamni Sent from my TECNO KH6 using JamiiForums mobile app
  3. G

    Kumbe Chama cha Mapinduzi kinapendwa kiasi hiki?

    Tunafuatilia. Muliowanunua Kama mutwatendea haki
  4. G

    Gas ipi inayotumika kugandishia kwenye friji?

    Maji yanakuwa kwenye compresa ya friji ikiharibija naweza niyatumie kwa kazi gani
  5. G

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    KISWANGILISHI mama lugha ya nyumbani imetawala anaongea kiingereza Cha kiswahili Mimi sioni makosa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

    Namkumbuka sana kwa hicho kitabu Rosa mistika nilikisoms Kati ya mwaka 1976 na 1977 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    Naomba kufahamishwa namna wanavyopima vilele vya milima mirefu

    Naomba kueleweshwa juu ya upimaji wa vilele vya milima mirefu mpimaji hupima akiwa wapi (1) kileleni (2)chini yaani baharini kwa sababu Kila ukitajwa mlima unahusishwa na usawa wa bahari milima Kama Kilimanjaro, Everest, Tibet nk. Kuuliza si ujinga!. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    Geita: Mtemi azikwa na watu hai wawili

    Uongo so mzuri kwenye jamii ya watu wastaarabu kama watanzania nakanusha kwa nguvu zote kwa mtoa post kwa sababu Niko Geita nimezaliwa geita nimekulia geita na ninazeekea geita Nina miaka 66 nskanusha geita hatuna utamaduni huo was kuzika watu hai waganga wa kienyeji kuzikwa wamekaa so geita tu...
  9. G

    Naomba msaada was kuwajua hawa Shaman ni watu gani in saws na Freemason au illuminat

    Wao Asili yao ni nchi gani america ulaya au asia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    Naomba msaada was kuwajua hawa Shaman ni watu gani in saws na Freemason au illuminat

    Ndugu wana jf kwa ufupi naomba munisaidie kuwajua hawa wanaojiita SHAMAN wanajitangaza kwenye hii mitandao kundi LA watu gani au ndo jamii ya Freemason au illuminat Sent using Jamii Forums mobile app
  11. G

    Kwako Tundu Lissu, bwenini Gasthuisberg, Leuven, Ubelgiji

    Nimesoma na Mimi mwanakijiji niliyeko nyanghwale naona pumba tu unawataja watu waliotibiwa mhimbili kama kielelezo cha Lisu kukiuka tarstibu za mstibabu je nao walipigwa risasi kama Lisu au nao wanatoka vyama vya upinzani kama Lisu aheri ulete viashiria vya waliompiga risasi ili tukuone kwamba...
  12. G

    NIAOMBA KUJUA MAANA YA DAWATI LA JINSIA NA KAZI ZAKE

    Huamini mwanaume kunyanyaswa na mke hayajakukuta
  13. G

    NIAOMBA KUJUA MAANA YA DAWATI LA JINSIA NA KAZI ZAKE

    Ndugu zangu wana jf naomba kueleweshwa juu ya dawati LA jinsia kwa sababu namba ya wanaume wanaokimbia miji yao kwa ajili ya kunyanyaswa na wake zao idadi yao inazidi kuongezeka ukienda machimboni na visiwani utawakuta no wengi sana na maelezo yao in kunyanyaswa na wake zao je dawati LA jinsia...
  14. G

    Je, utozaji ushuru Nyanghwale kwa wachimbaji wadogo unaendana na sera ya kodi ya Taifa?

    Hata sisi tuataka sana hilo unalosema sasa kodi ilipishwe uzalishaji na si mali ghafi tunalipia ardhi ya kuweka karasha na karasha lenyewe ila ukienda kwenye uzalishaji halisi nako tunalipa tena vizuri sana na mimi sisemi tusilipe ila kuwe na nafuu
Back
Top Bottom