Recent content by germanium

  1. germanium

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa kibada na kisarawe ii-kigamboni

    Kibada(1.4km kutokea kibada centre) Maji na umeme tayari,Barabara inapitika mda wote Ukubwa wa Eneo: Sqm 580 Nyaraka: Hatimiliki Bei: Tzs Milioni 20.3 Vumilia ukooni-Kisarawe II(2km kutokea DSM zoo) Maji na umeme tayari,Barabara inapitika mda wote Ukubwa wa Eneo: Sqm 785 Nyaraka: Hatimiliki...
  2. germanium

    JamiiForums Tanzania Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

    Kumeanza kuchangamkaa😁😁😁
  3. germanium

    JamiiForums Tanzania KERO Hakuna Taasisi yenye huduma mbovu kwa wateja kama UTT AMIS

    Sahihi kabisa...jamaa kwenye kutoa pesa ni wasumbufu sana sana
  4. germanium

    JamiiForums Tanzania KERO Hakuna Taasisi yenye huduma mbovu kwa wateja kama UTT AMIS

    The same to NIC
  5. germanium

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    Km 3 kutoka Dar es Salaam Zoo
  6. germanium

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    Hati ya wizara
  7. germanium

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    785sqm bei ni 13m
  8. germanium

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    785sqm bei ni 13m
  9. germanium

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    Ukikosa hicho njoo nkuuzie viwanja vyangu vipo kisarawe II
  10. germanium

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Mohamed Yorobo Bangoura

    Simba au yanga mmoja aweke mizigo pale
  11. germanium

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Mohamed Yorobo Bangoura

    Mashine ingine ni danja naona anacheza kama winger wa niger.jamaa anajua sanaa
  12. germanium

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuchimba visima vipya vya gesi waanza Mtwara

    Gesi asilia ni utajiri mkubwa sana wenzetu Qatar wamekuwa matajiri kupitia hiyo hiyo gesi asilia na Matokeo yake Qatar sasa ina moja ya pato la juu zaidi kwa kila mtu duniani
  13. germanium

    JamiiForums Tanzania Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

    Imefika....fatilia
  14. germanium

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

    Kuwa pesa za kutosha hivyo vyote unavyotaka utavipata kwa mwanamke yeyeoto na popote
Back
Top Bottom