Recent content by Gerald Kishili Maasa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

    Hayo yalikuwa maisha ya kuishi kwa mazoea mno!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Maghembe: Tanzania sio koloni la Kenya

    L Lakini yote tisa,Pesa itakayokusanywa itatumika kikamilifu au ni ubabaishaji tuu?
  3. G

    JamiiForums Tanzania NIDA kutoa utambulisho kwa watanzania wote ifikapo 31/12/2016

    Hiyo taasisi ni uchochoro mtupu na hakuna lolote kabisa,hivi vitambulisho vya Taifa umekuwa kama mchezo wa kuingiza sasa.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemtusi Rais, Isaac Emily ahukumiwa jela miaka 3 au kulipa faini

    Siyo Rais wa nchi tu,Kiongozi yeyote mwenye mamlaka ni sharti kumheshimu!
  5. G

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Viongozi 22 wa CHADEMA wafikishwa mahakamani

    Africa demokrasia bado sana na sijui ni lini inaweza kuwa Sawa,serikali labda ingejenga hoja dhidi ya wapinzani badala ya kutumia nguvu.Ila wajue tu siku moja itashindikana!
  6. G

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Watuhumiwa wa Ubakaji na udhalilishaji wanyimwa dhamana

    Ingekuwa China wangeshalamba vitanzi,ushahidi wa hizo picha zao unatosha kuwatia hatiani,upelelezi upi tena?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afanya ziara ya kushtukiza katika mabasi yaendayo kasi

    Watanzania wamekuwa watu wa kubeza tu hata wakiambiwa jambo zuri na la kuwajenga,Mungu tuongoze tupate uelewa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Spika asema baadhi ya Wabunge huvuta bangi na Unga, asema vifaa maalum kufungwa kuwabaini

    Ni kwamba kuishi kwa mazoea kukewe kwa nguvu zote.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Cjui kama hawa viongozi wetu wanatumia elimu ya kawaida au viini macho kazini,kwa akili ya kawaida na kwa waziri mwenye dhamana na jinsi halisi ilivyo kwenye wizara yake,eti akanywe ndiyo aje ajabu maswali,wengi wasachiwe humo Bungeni hirizi ni nyingi,hilo si jambo la kawaida!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Lakini ni bora angemwambia waziri mwenzake yeye hajiskii anakwenda kupumzika ili akaendelee kuchapa pombe zake,hii ni aibu tupu na kufanya kazi Kwa mazoea.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza viwango vya tozo kwa watumiaji wa Daraja la Nyerere

    Ni uzito gani wa magari hayataruhusiwa kupita kwenye daraja hilo?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watumishi hewa yafikia 248, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda amsimamisha kazi Afisa Utumishi Ilala

    248 ni wachache sana kwa Dar,kaza buti Kiongozi!
  13. G

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Mchungaji akamatwa na Meno 11 ya Tembo akiwa 'ameyahifadhi' kanisani

    Mh!Ni yupi aliye mwema sasa?
  14. G

    JamiiForums Tanzania TRA kugawa mashine za EFD 5700 kwa wafanyabiashara

    Tshs 800,000=
Back
Top Bottom