THE Tanzania economy recorded relatively good economic growth over the last decade; but it could have done much better than that...A new study on Dar's investment climate indicates that the countrys rent-management remains largely decentralized and undisciplined, with deleterious consequences...
Jamani mwenye information kuhusu shortlist za auditor garade II, 100 positions, lini hawa jamaamwa secretariat ya ajira wanatoa majina ya waliokuwa shortlisted? mwenye taarifa naomba atujuze!
nawakilisha jamvini!
Katika hali inayoshangaza wabunge kadhaa wakiongoza na naibu spika mh. job ndugai wamekwenda london kufuatilia malipo ya pesa zilizotumika kununulia rada feki!
hivi wanajf tujiulize mbona downs walivyofungua kesi wakidai fidia sikuona jitihada kama hizi kuokoa taifa! mh. membe bila aibu ya...
Naibu waziri fedha ameliambia bunge asubuhi ya leo kuwa wizara ya fedha imetenga kiasi cha Tsh. bilioni moja kwa ajili ya kuajiri wafanyakazi wapya 200 katika mwaka huu wa fedha, aidha waziri amesisitiza uharaka wa kutangaza ajira hizo ili ziweze kusaidia upungufu wa wafanyakazi katika wizara...
Tatizo ni moja, maelezo yako mazuri lakini huwezi kuthibitisha kashfa ya ufisadi bila auditing, wewe unadai hakuna ufisadi ppf tupe hyo audited ripoti yako hapa jamvini! tatizo lako na wewe umetumwa na baadhi ya watu coz trend ni ile ile ya kuwasafisha walokutuma na kuwachafua washindani wake wa...
Hivi ni lini waajiri wataacha tabia ya kusema a person with not less than 5 years of working experience, pumbavu sasa waliomaliza chuo hivi karibuni mnataka waende wapi, au wewe unayeajiri ulimaliza chuo ukiwa na experience pumbavu zenu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.