Recent content by Geosylver

  1. Geosylver

    JamiiForums Ndege inaweza paa injini ikizima angani??

    Even in the event of the loss of all engines, an aircraft can keep its critical electrical systems running thanks to the ram air turbine which allows the crew to maintain control of the aircraft and to communicate with ground crews to determine the best course of action for the situation. This...
  2. Geosylver

    JamiiForums Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

    mnanipa raha sana,Great thinkers think alike,keep good music alive,angepewa D ingekua sawa kapewa K n shida,dunia haiko ivyoo,watu huzidiana uwezo.
  3. Geosylver

    JamiiForums Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

    usipojifunza leo utajifunza sikunyingine ushabiki ukikuisha.
  4. Geosylver

    JamiiForums Ndege inaweza paa injini ikizima angani??

    HAPA NDO WABONGO NINAPO WAPENDA YANI VITU VYA KITAALAMU ILA MNAHISI..hata certificate ya aviation hatuna duu noma sana tunajua kila kitu
  5. Geosylver

    JamiiForums Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

    Iko hivi:utumbuizaji wa muziki ni nn tunatizama vigezo gan? na utunzi bora ni upi? Utumbuizaji ijulikane sio dancers ni msanii kuwasiliana na hadhira kwa kutoa burudan,kutumbuiza ni pamoja na kucheza,vyombo mfano:gitaa,ngoma,na vingine tujiulize swali kati ya hao juu nan anaingia na ngoma ama...
  6. Geosylver

    JamiiForums WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Tuna matatatizo makubwa na hii nchi na shida kubwa ipo kwa sisi maskini akili hazifunguki tunawaza ushabiki tu,ukiambiwa ndugu wa damu ni mwizi utatetea hata km hujui chochote juu yake.ifikie sehemu watu tue na mapenzi ya dhati na nchi tutoke tulipo twende tunapotaka. matatizo yasiyovumilika...
  7. Geosylver

    JamiiForums Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    mnajua maana ya neno chama? ni watu au vikundi vyenye itikadi moja na lengo moja dhidi ya jambo flani,hamuwez kuw na chama mkawa na wanachama wenye itikadi au malengo tofauti.soo wote n kitu kimoja na wenye lengo moja.
Back
Top Bottom