Recent content by George Muasa

  1. G

    JamiiForums Yericko Nyerere: Nimetishiwa maisha, nimefungua kesi polisi

    Kila pua inayoangalia chini siku moja itaonja mauti.Kama umetishiwa au la kumbuka kuwa kifo ni lazima ila kuishi ni bahati ndugu yangu.
  2. G

    JamiiForums Lg p506

    Inatakiwa ufanye factory defautly
  3. G

    JamiiForums Ccm bwana!!

    CCM bado wana kazi ndefu hawajafsnya,aliyelala usimwamshe utalala wewe.
  4. G

    JamiiForums Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa...

    Kwa maoni yangu mimi ninaona kuna unafiki hapa,kama kweli hilo limetokea hawa wanaoandika hii habari kwanini wasifike polisi kumsaidia huyo binti anayedaiwa kufanyiwa hivyo?au ndiyo kupakana matope.Hapa dar matapeli ni wengi na sanatumia njia mbalimbali kutengeneza pesa.
Back
Top Bottom