Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Habari za jioni?
Wakuu tuache utani ama chuki binafsi, CCMni chama kinachoona mbali.......Kwa nini????
Sonsomokahapa...
WATU KULAUMU CCM KWAKILA JAMBO .
Kutokana na madhila yooote wanayoyapata wananchi (kama haya ya kunyanyasika na madaladala) watu hutupalawama zao kwa CCM. Tuwe wakweli!!! Kwa abiria kunyanyaswa kamanilivyoeleza hapo awali je nani ni mtu wa kulaumiwa wa kwanza? Kama ni lawama sisi raia wenyewe (in this sense-wamilikina wahudumu wa daladala!). Unapoilaumu CCM wakati wewe ndo mtu wa kwanzakuvunja sheria mimi kama msomi sikuelewikabisa! Inatakiwa raia uwe mstari wa mbele katika kutenda haki ili serikaliitakapozembea katika utekelezaji wa (mfano) kusimamia sheria uzembe huo huwawazi kabisa. Abiria umnyanyase wewe kwa kukosa uzalendo na ubinadamu lakinilawama umtupie CCM ..! Hii siyo sawa.
Raia unatakiwa kuwa mwadilifu kwanza kisha vyombo vyadola ndo vifuate. Hii itaondoa lawama za kulaumu ulipoangukia badala ya kulaumuulipojikwaa.
JE CCM IMETHIBITISHA KUWAJALI WANANCHI WAKE?
Jibu ni ndio ..Hebu cheki vituo vya mabasi yaendayo kasi .Rangiiliyopakwa ni ushahidi kwamba kazi hiyo nzuri ni juhudi za CCM! (Ingawa watuwenye alergy na CCM wataachakupanda mabasi yaendayo kasi kwa kuwa yana rangi ya CCM) lakini nataka niwaasewasifanye hivyo ..Hata wao wamenyanyasika na wanaendelea kunyanyasika nawamiliki na wahudumu wa mabasi wasiojali utu .Pesa kwao mbele kuliko utu .Nawaombeni mradi utakapokamilika wapande mabasihayo kwa wingi maana itawapunguzia gharama za kulipa mabasi matano mpaka mananekwa siku. Pia haitakuwa na haja ya kumiliki gari kamamatumizi yake makubwa ni kumfikisha mtu kazini na kurudi tu.
Kwa kuniunga mkono nawaombeni wenye picha current yavituo vya mabasi vilivyokamilika na vinavyoendelea kujengwa wazitundike humu.
Asante sana!

- Kwamba imeona wananchi wake wanavyonyanyasika asubuhi na jioni wakati wanataka kwenda makazini ama kurudi nyumbani. Utakuta daladala inaona kabisa watu wamesubiri basi hilo lakini anakataa kusimama palepale walipo abiria .anakwenda kusimama mbali ili aone jinsi raia wanavyokimbilia basi hilo yeye roho yake kwatu . Ndipo CCM ikaona ni vema serikali yake itatue tatizo hilo kwa kuweka mabasi yaendayo kasi. Hapo hakuna kukimbilia basi! Litakuwa linasimama miguuni!!!
- Kwamba taabu za kulipa marambili eti kwa kuwa unakwenda mbele kugeuza na basi hilo unatozwa nauli mara mbili japo umegeuza palepale. Unatangaziwa basi linakwenda makumbusho hivyo unalipa mara mbili lakini lageuza palepale kurudi mjini. Manyanyaso makubwa sana! Lakini sasa mabasi yaendayo kasi itakuwa hakuna kulipa mara mbili maana hata kugeuzia njiani miundo mbinu hairuhusu.
- Kwamba ilikuwa asubuhi ukiamka (mpaka sasa) unakwenda kituoni kupanda basi la kwenda kazini ama nyumbani bila kuwaa na ratiba. Yaani haijulikani basi litakuja saa ngapi. Ilikuwa ni masuala ya kubahatisha. Lakini sasa ratiba itawekwa na mabasi yaendayo kasi yatakuwa yanatunza muda