Recent content by George M.A

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

    Ukawa hamna jipya kazi yenu majungu tu mkiambiwa ukwel Aaa Mara kahongwa Mara kibaraka baada ya Oct cjui mtafanyaje maana rais wenu JPM
  2. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kauli za kilaghai

    Unachukia umaskini bila strategic point za kueradicate umaskin hayo ni maigzo tu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    Mtaisoma namba mwka huu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nilisubiria kwa hamu je Magufuli atawanadi Tibaijuka, Chenge

    We unashangaa magufuli kumbe nyan haon kundule mbowe na lowasa hamshangai enyi ukawa Nani aliyewaloga?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Tatizo la wanaukawa hamtaki kuambiwa ukweli ,mtu akisema ukweli kanunuliwa na ccm tutanunua wote wanaosema ukweli? Jitambuen c kila kitu kulalamika tu.kama kushindwa mtashindwa tu haina ubishi
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mbatia LIVE Azam two...

    Ndo maana jimbon kwake madiwan wa chadema wametangaza kutomuunga mkono kwenye harakat za kampen na Leo wanachama wa vyama vinavyounda ukawa na viongoz wao wapatao 600 wamevihama vyama hvyo mwka huu ukawa itakua ukiwa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

    Nauli elfu 40000/= panda NBS usafiri wa uhakika ni masaa kumi na Mbili mpka 13 unaspend road.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Unavalia shera haruc c yko tulia dawa iingie
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Wewe unavalia harus cio yako dili na ya ukawa tu ndo yanakuhusu ccm tuachie wenywe
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Unajua c lazma mtu anapotoa maon yaungwe mkono na watu wote sasa nawashangaa mnaoongea tu bila kujua maana ya mtazamo hayo yalikua maoni yake je yakwako ni yap?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Aliekuwa Mwanachama wa CCM asema kinachofanya WanaCCM kujiuzulu kila kukicha

    Hayo maneno tu ya wakosaj wamekosa walichokua wanakitarajia na maneno yamekua kibao hawana jipya ukisema ccm ni family je cdm utasemaje
Back
Top Bottom