Recent content by George Kapinga

  1. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kama umeziona hizo zote wewe ni PRO katika hizi mambo..!
  2. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vyumba vya hostel UDSM

    Kijana kama unataka fanya kinachokupeleka chuo kwa nidhamu na ufanisi nenda main campus(Boardin) utafurahi... Ila kama unapenda maisha ya KIOO nenda Big Brother Africa(Mabibo Hostel) utaenjoy..!
  3. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    1:Slave hunter 2:The great queen sandeok 3:King gwanggaeto 4:Land of wind 5: Dae Jo Yeong
  4. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Bi. Regina Chonjo ametangaza hali ya hatari wilayani kwake

    Mkuu... Hivi UKUTA ina watu kweli wakuisapoti..!? Maana huku kwetu kila nayemuuliza kuhusu hili suala la UKUTA huwa anageuka mbogo..! Isije ikatokea akina Tundu Lissu wakajikuta wako wenyewe tu Barabarani..!
  5. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya ajira mpya za ualimu 2016

    Na wakifeli sasa hivi... Hawataweza tena..!
  6. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliorudishwa UDOM special programme kuamriwa kwenda kusoma ualimu wa msingi

    Huu uandishi ilibidi awe nao dada yako Tena pale anapowasiliana na shemeji yako Sio humu jukwaani!!!
  7. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Diploma mliodhulumiwa fedha zenu fungueni kesi mahakamani dhidi ya TCU

    Acha kuwadharau wenzako Bwana Mdogo..!
  8. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya ajira mpya za ualimu 2016

    Mkuu... Hivi UKUTA ina watu kweli wakuisapoti..!? Maana huku kwetu kila nayemuuliza kuhusu hili suala la UKUTA huwa anageuka mbogo..! Isije ikatokea akina Tundu Lissu wakajikuta wenyewe tu Barabarani..!
  9. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania Alikiba kuilaani rasmi bongo flava September

    Wewe ulitaka hadi amtaje jina..!!?
  10. George Kapinga

    JamiiForums Tanzania "Uchizi" una uhusiano gani na kupenda mjini ??

    Kuna MAKOPO mengi..!!!
Back
Top Bottom