Recent content by george jobu

  1. george jobu

    JamiiForums Tanzania Big result now.

    Big result now without big salary now is the big problem now..
  2. george jobu

    JamiiForums Tanzania ongezeko la mishahara.

    source ni wap..hebu tupe chanzo..
  3. george jobu

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mipya kwa Walimu Kuanzia Julai 1 2013

    Leo nimeuona huo waraka hapa kazini kwetu zaid umeainisha tu changes za madaraja lakin hawajaweka kila daraja itakua kiasi gani..but is true mabadiriko yapo..
  4. george jobu

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mipya kwa Walimu Kuanzia Julai 1 2013

    hebu sema kwel umeuona wap huo walaka?..
  5. george jobu

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mipya kwa Walimu Kuanzia Julai 1 2013

    huo ujumbe ulitumiwa na nani,jf ni sehemu ya habar zenye uhakika,msilete utan watu tunaasila na haya maisha coz watawala wetu hawana huruma na nahs hawajui jinsi tunavyoish katka mazingira magumu sasa wewe ukileta habar ka ma hz lazima uwe na uhakika nazo...
  6. george jobu

    JamiiForums Tanzania P-Funk naye aishukia Clouds FM

    hv hawa mawingu ni wanyonyaji wasanii ona wasanii wanavyokufa masikini huku wakiwa na majina makubwa
  7. george jobu

    JamiiForums Tanzania Nyambari Nyangwine: Umechangia Kuharibu Elimu ya TZ

    kama shule ulisoma zaidi vitabu vya nyangwine utajigundua u mtupu kihoja...jaribu kujichunguza..
  8. george jobu

    JamiiForums Tanzania Gari ya JWTZ lapinduka na kuua askari kadhaa wakiwa njiani kuelekea Mtwara kuongeza nguvu

    hakuna siasa hapo ni wanamtwara wamechoka na ahadi bandia....
  9. george jobu

    JamiiForums Tanzania Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

    karib kamanda
Back
Top Bottom