inafanya kazi vizuri lakini inaruhusu kucheza one person with pc so nataka nicheze mm na mtu mwingine tunataka tucreate kombe mm na yeye tushindane kila mtu achague team yake
Kwa yule mzoefu na football games kama PES 2014 naomba msaada
Nina pes 2014 na 2015 lakini nikiconnect pads za double shock ili tucheze watu wawili haiwezekani so ambae anajua hilo swala anisaidie ili niweze kufanikisha hilo tucheze mashindano watu wawili maana kucheza mtu mmoja tu hainogi so...
jamani naombe msaada wenu wadau nina pes 2014 na pes 2015 lakini zote ninapoconect pad hazichez ninatumia key board tu sijui nifanyaje nisaidieni jinsi ya kuweza kuchezea pad kwenye pes

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.