Recent content by George Bunyara

  1. G

    JamiiForums Tanzania Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    walafi wa wake za wenzao kipigo hicho poa ni funzo kwa wakwale wengine.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Je! tumechukua hatua gani kukabiliana na Ajali za barabarani

    muda spidi gavana ulishaisha sasa hivi ni spidi kamera. analogi na digitali. nenda na wakati.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

    kwani wana jf.kunashida gani sheria za kazi zinasemaje. wanasheria watuambie sheria inasemaje kuhusu hao wana usalama.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hivi hii sarafu ipo? Nakama ipo ni nini lengo la serikali

    sidiria pia itatoboka kubeba majiwe ya aina hiyo mazito kama nini.ila poa tu ndio bongo bana. . .
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii EBOLA itarudisha ubaguzi Marekani

    dereva wa waziri ameugua ebola waziri wake kawekwa karantini.
  6. G

    JamiiForums Tanzania EWURA tupeni bei elekezi basi

    hee kumbe bei ya mafuta inatakiwa kuwa poa inamaana hata wao hawa oni hayo mabadiliko?au %
  7. G

    JamiiForums Tanzania katiba

    hivi kweli bwana s s anaweza kuchemka na kumuorozesha mbunge wa zenji pitia nccr mageuzi pasipo yeye kuwepo ndani ya ukumbi wa bunge maalum? inakuwaje eti wana jf.
Back
Top Bottom