Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Ni muda sasa, takribani miezi mitatu, bei ya mafuta kwenye soko la dunia imekuwa ikishuka, huko urusi imeshuka kiasi cha kutishia usalama wao wa kiuchumi, Saudi Arabia ambao bajeti yao inategemea asilimia 90 ya hela kutokana na uuzaji wa mafuta kimeishanuka pia, Ukuaji wa uchumi wa China umedorola hawahitaji mafuta sana , German na mataifa ya ulaya vile vile economic growth forecasts zao zimepunguzwa kwa kiasi kikubwa.
Tumezoea kila mara bei ya mafuta na inflation zinapopanda tunaambiwa ni sababu bei ya mafuta kwenye soko la dunia imepanda.
Safari hii tumewafumania, vilio vya bei ya mafuta kushuka vimetapakaa huko kwa weupe.
Sisi vipi, mbona haishuki??
Au bado wanauza waliyonunua wakati bei iko juu?? Hahahahahahah
Na hapa sizungumzii mafuta tu, hata Umeme pia bei ishuke, sababu si ilikuwa bei ya mafuta mazito kuwa juu, Sasa imeshuka. hahahahahaha?
Bei inashuka haishuki??
BAK Bulesi Ngongo MTAZAMO
We moderator iliyeileta hii post huku, unaelewa maana ya siasa au unafikiri siasa ni yale matusi yanayotolewa na kina Lizaboni na thatha tu.

Last edited by a moderator: