inasikitisha sana na ina-disappoimt sana juhud za wazalendo tunaovuja jasho kutaftia familia zetu lakn kulitaftia Taifa lisonge mbele zaid huku tukuwataftia akina zungu ulaji mkubwaa kwa kigezo cha ubunge,zigo la makato ya laini limesimamiwa huku wao kukatwa Social Funds kama hawaijuii vilee na...
Kama kuna lugha chafu tayar zlikuwaepo,,labda Chalamila kuwaruhusu waje na mabango machafuu ilikua n kutaka kuwakamata kirahis maan hako nako n kambinu kakee alipopewaga mkoa wa Mbeya wiki ya kwanza tuu alikutaga vijiji viwili vinamgogoro mkubwa uliopelekea kimoja kung'oa mabomba ya majii...
Chalamilaa mostly huwaga anacheza na mashabikii amekaa ki-comedian sana nadhan familia yake weng wanafit kwen Comedian kama yule mdog ake Chalamila Kiparaa wa ZecomeDy kila wakat anataka mashabiki zake wamchekee ana kosa kujua mipaka ya nafasi yakekuna siku akiea Mbeya kwen harambee nkaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.