Kiukwel nmevuka pale takriban miaka mitatu,,ikifika sa moja asubuh idadi ya watu inakua kubwa sana mpaka ww mwenyew unaogopa kupanda
Watafute namn ya kudhibiti kabla hayajatokea maafa
Nmesoma nae pale st Maurus na ni rafiki yangu sana,songea nmekutana nae na alikua field force pale naskia alifukuzwa kazi akaamia chadema na alikua kalibu sana na Mbowe
Nnalojiuliza kwa nn wako kimya ktk hili? Dah
R
I
P
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.