Mkuu ukiwa na meneja ambaye anawala huwa inafika point meneja anakuwa hana usemi hata mhudumu akimkosea mteja basi meneja anakuwa upande wa muhudumu... Kikubwa ni zile concept za promotions ila kuwala pia inaweza isiwe solution
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo Pound na Dolla nakushauri usiwe unahifadhi nyumbani maana hayo mahela huwa yanaenda na series baada ya mda yanakuwa hayatumiki... Unaweza ukawa na dola ya mwaka 2014 ukaenda siku kubadili upewe tzs ukaambiwa hela hiyo haitumiki tena ukawa umekula hasara, either ufungue akaunt ya dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.