Habari zenu wana JF, hivi karibuni nimeshuhudia poromosheni kubwa ya simu za kampuni ya oppo hasa zile za A series, unakuta internal storage 128, RAM 6, Qualcomm and octa core processor, ambapo simu zenye specifications hizo ziliuzwa bei kubwa sana lakini sasa zinauzwa 95,0000 hadi 100,000 je...