Recent content by geofrey salanje

  1. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba wapige stop habari zao kwa Clouds

    Wamefanyaje tena mkulu
  2. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Saa za Giza Totoro

    OK nipe mawasiliano yako mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Saa za Giza Totoro

    Kitabu kinapatikana wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania CAF Confederation Cup, draw ya makundi

    Mnyama yupo kundi F
  5. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

    mbona simba wanateseka na zahera tulieni dawa iwaingie msitingishike itakatikia
  6. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Natafakari siku Job Ndugai atakapojiunga na CHADEMA mapokezi yatakuwaje pale Ufipa!!

    Mbona ata lowasa alopokelewa na rais na waziri mkuu hiyo ndio siasa
  7. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ahadi yake: Haji Manara kesho rasmi anahamia Yanga kuitumikia

    Ahadi ni deni akaribie jangwani uzuri kuna uongozi sasa watampangia kazi ya kufanya akushirikiana na papaa mwinyi zahera mambo yatanoga jangwani
  8. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mbeleko ya point 27 za tff dhidi ya yanga vpl 2016/17

    Ndio maana 5+ zimepigwa sana ugenini wanategemea mbinu za kununua matefa na kupulizia sumu vyumbani miaka 4 ya yanga ajawai kupigwa 5 ni mpira wa uwezo tu sio kuforce
  9. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

    Kwani makambo kecheza mechi mgapi na kafunga goli ngapi ndio tuanze kumjadili
  10. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

    Nakubaliana na maneno yako ya muda ni hakimu mzuri sasa tunawai nini kumuhukumu nakumbuka hata chirwa tulisema hivi hivi mpira ni mchezo wa muda mavugo kaachwa sio kwa kiwango chake bali maneno mengi ya washabiki
  11. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

    France wameenda world cup straicker Giroud ampigi kelele sasa Makambo mechi 9 bao 4 sijui wenzetu mnataka nini maana wanaolalamika kuusu Makambo sio yanga
  12. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Wababe wa Simba kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho wachezea kichapo cha 4-0 kwa AS Vita ya DR CONGO

    Baasi tumalize ubishi kila mtu atoe matokeo yake na MBAO FC
  13. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Wanamsimbazi Twendeni Tukaishangilie timu yetu

    Haha haaa kwani saa10 mbali tuombe uzima tu DHL ofisi zao zipo wazi mpeleke kifurushi chenu kwenda Zurich
  14. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Wanamsimbazi Twendeni Tukaishangilie timu yetu

    Haha haha baada ya miaka mingi kupita mumerudi angalieni msimchezeshe mwenye kadi3 maana ni wageni wa hizi mechi
  15. geofrey salanje

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na aina zote za kamari

    Liver huyo kachana mkeka acha hasira
Back
Top Bottom