ukawa ni chama gani,hakieleweki,nimeshaanza kusahau pia kimepoteza sifa kabisa,hoja ya kutoka mjengoni,kumewamiliza kabisa,hauwe kuhamasisha watu kuandamana kwa kuonyesha kidole cha katikati,kuongopa mjengoni,sisi tunataka hoja na sio kutoka bungeni,ukawa wasilete mazoea ya bunge zililopita,sio...