Recent content by Geofane

  1. G

    Vipi anakutesa? Tumia pesa!

    ni kwel pesa haiwez kununua penz la dhat,na pesa cku zote haitoshelez ndio maana hata matajir hawalal
  2. G

    Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

    Inauma sana kwakwel,ifike mahali tubadilike watanzania. tujiulize kama huwez kumlea mtoto wa ndugu yako kwasababu hayupo dunian nan atakulelea wa kwako? tuachane na hili la kusema hanihusu,kwan madhara yake ni makubwa sana kwa mtoto na kwa jamii. Tuguswe na turipot tunapoona hali isiyo ya...
  3. G

    Naomba kujua ada ya kusomea diploma ya ualimu kwa mwaka

    wanadai gharama za uendeshaji zmepanda,na tetesi zlizopo serikal inataka kujitoa kwenye issue ya msosi,mwanachuo atajilisha mwenyewe
  4. G

    Naomba kujua ada ya kusomea diploma ya ualimu kwa mwaka

    Ada imepanda kuanzia mwaka mpya wa masomo unaoanza julay ni 300,000/= kwa ngaz ya chet na diploma kwa vyuo vya serikal.
  5. G

    Vyuo vya Ualimu kuhamia NACTE

    Tayari imepitishwa rasmi,wakuu wa vyuo wk iliyopita alhamis walisain kukubali kuhamia nacte chini ya Katibu mkuu jijini Dar es salaam.
  6. G

    kuhusu wenye sap walipangiwa ualimu.

    inawezekana ni wadiploma wenyewe ukiwa na sup kusapua ni mpaka mwaka upite yaan unafanya mtihan na uliowaacha. ni kama wa degree mwenye carry over
  7. G

    kwan udom kuna tatizo gani?{waliosoma huko tafadhali mnijuze}

    nnachojua mimi hakuna taasisi isiyokuwa na mapungufu. nmesoma hapo na nmeajiriwa,wengi wanaoiponda udom hawaijui. nliwah kutembelewa na rafik zangu toka mzumbe walikaa udom zaid ya miez 3 walikuwa field,waliponda sana kwamba udom ni majengo lkn kadri muda ulivyozid kwenda walianza kutoa...
  8. G

    Nafasi Chuo cha Ualimu

    okey! ni kupitiwa tu ckua na nia ya kumfunga kamba yeyote. asante....
  9. G

    Nafasi Chuo cha Ualimu

    Maombi kwa vyuo vya ualimu kwa ngazi ya cheti na stashahada hupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi. unaandika barua kwa mkurugenzi.
  10. G

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Karibu Moro,maeneo mengi ya morogoro vjjn ni kwenye safu ya mlima uluguru mkuyuni,matombo,kisaki,mvuha nk huko vyakula vyakutosha maji inategemea na eneo husika,usafiri upo kwa baadhi ya maeneo,mf kisaki hasa kpindi cha mvua huwa wanatumia tren. maeneo mengine ya wilaya hiyo ni...
  11. G

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    co mbali na jiji but jitahidi kuwahi maan mapori yapo tena ya maana tu.
  12. G

    Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

    mwambie huyo! hata UDOM watu wa special needs wamepangwa mjn wote sababu ni hyo shule znazo wahusu zpo town.
  13. G

    Niliupenda ualimu ila kunipanga serengeti ujasiliamali umenipenda zaidi;

    mhhhh! umetishaaa, matabaka yapo tu kila mahali we mwenyewe umeshabagua kijj na mjin
  14. G

    Wapenzi wawiliwanapokaa nani muongeaji sana???

    umeona eeeh! znathumbua balaa
  15. G

    Ipi ni kazi bora na yenye maslahi tofauti na sheria katika mchepuo wa HKL

    tofauti ipo tu, lkn kwenye issue ya shule ndg ni uwezo wa mtu,ukisindikizwa na uchumi wa familia ndio maana tuna jinsia zote 2 ktk kila fani,wakati ww unapenda kuwa engineer kwa sababu ni mwanaume kuna mwanaume yupo sua akisoma tourism kwasabu ni interest,funguka kijana
Back
Top Bottom