Pole Askofu! Ukiona unalaumiwa basi Inawezekana umetoka katika njia yako. Rejea sifa za Askofu 1Timotheo 3:1-5. Kwa Ukristo wa kweli ninaoufahamu Mimi,; Waraka wa maaskofu kwa Pasaka ungejikita katika Yohana 3:16.
Sio ubishi. Serikali imejipambanua kuwa haina Dini, halafu unaiandikia nyaraka za dini. Ni sawa na kulazimisha mchongoma uzae zabibu. Hivi Hayati Kingunge alikuwa anatumia kitabu gani kati ya hivyo kuapa? Ndio ujue si harali kutuweka watanzania wote kwenye kundi moja.
Acha kutufanya hatujui kitu. mtu anaapa kwa Mungu/mungu anayemwamini na sio kwa kiongozi wa dini. Umewahi kuona kiongozi wa dini anamwapisha mwanasiasa kwa kazi za serikali? hivi Jaji Mkuu anayemwapisha Rais ni kiongozi wa dini gani? Biblia au Quran ni vitu vinavyomwakilisha Mungu na sio...
Acha ncheke mie. hahaaaaaaaaa! Ufahamu wa waliowengi umegotea hapo, wote mwapaswa kufahamu kuwa upinzani upo kwa wanachama wa kawaida ila viongozi wote wa juu wa vyama vya siasa nchini ni mamluki. kama huamini haitatokea mwenyekiti wa CDM akawa mwingine zaidi ya Mbowe, NCCR-M, akatokea zaidi ya...
si unajua mabo ya cash badget, mambo yameingiliana, kikao cha Bunge, safari za mh.jk, mtihani wa 4m six nk. Lipi lianze lipi lifuate? kupanga ni kuchagua!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.