Recent content by genus

  1. genus

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amtoa nje Mbunge wa Ukonga (CHADEMA), Mwita Waitara

    ni wale waloesema sukari iuzwe 1800/[emoji1] [emoji1]
  2. genus

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amtoa nje Mbunge wa Ukonga (CHADEMA), Mwita Waitara

    ........ dada unazijua kanuni za bunge au umekinywa maji ya kuchambia, mbunge ana kinga ya anachokiongea awapo bungeni..... SHAME
  3. genus

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amtoa nje Mbunge wa Ukonga (CHADEMA), Mwita Waitara

    ...... umeona heeee
  4. genus

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa hati ya kukamatwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni

    .... hivi yule job aliyempiga fimbo ya kichwa mgombea mwenzake hadi kuzimia yeye alifungwa miaka mingapi vile?
  5. genus

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya waziri Lukuvi (CCM) iko chini ya Msigwa (CHADEMA)

    .... ccm ni ile ile....
  6. genus

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu, hivi Mwanza hakuna utawala wa sheria?

    Mtanzania halisi........ soma vizuri andiko langu utanielewa, kama hujui kusoma mpe mtu akusomee na akueleweshe ili uone hoja yangu katika hilo ipo wapi....
  7. genus

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu, hivi Mwanza hakuna utawala wa sheria?

    Nimekuwa hapa mwanza kwa muda, kuna vitu huwa navishangaa jinsi vinavyoendeshwa, kuna ukiukwaji mwingi wa sheria na taratibu sijui ni kwa sababu wakazi wake ni wapole sana au ni kutokufahamu haki zao. Mfano kuna msiba umetokea hapa karibu na sehemu ninayoishi barabara Balewa ni kama mita 600...
  8. genus

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

    ...... binafsi siyo mhaya ila huwa sipendi jinsi baadhi ya watu wanavyowasakama haya makabila mawili hasa wahaya na wachagga, utadhani siyo watanzania wenzetu, au hawakuumbwa na Mungu? , acheni hizo bhana....
  9. genus

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

    ..... na mara nyingi watu wa aina hiyo wanatoka kwenye maeneo yanayoendekeza ushirikina/uswahili..... Shame
  10. genus

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

    ..... akili za kawaida.... kwa hiyo aliposema membe naye ni muhaya kama julieth na tibaijuka?
  11. genus

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

    ...... inahusiana vipi na mada iliyopo mezani au ni chuki zako dhidi ya wahaya?
  12. genus

    JamiiForums Tanzania Siku si nyingi serikali ya CCM itarudisha utaratibu wa shughuli za Bunge kuonyeshwa moja kwa moja

    .... au pumba za kina msukuma kuhalalisha bangi..... na kusifia kukusa umeme
  13. genus

    JamiiForums Tanzania 2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

    ...... kila anayeitabilia cdm kufa anakufa yeye mfano upo bunda.....
  14. genus

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Serikali imeagiza sukari kutoka nje sababu ya uhaba

    ... bado na la elimu bure.....
  15. genus

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Serikali imeagiza sukari kutoka nje sababu ya uhaba

    .... bora kwenu sisi huku ni 2800
Back
Top Bottom