Recent content by gentleman92

  1. gentleman92

    Body ya tipa

    Body ya tipa inauzwa Iko dodoma ni mpya kabisa Njoo uivae ukapige kazi
  2. gentleman92

    INAUZWA Body ya Fuso Tipa

    Body ya fuso tipa mpya kabisa haijawahi kutumika inauzwa. Huna haja ya kusubiri tena garage wik mbili au na zaiD njoo uivae na kuondoka zako Mawasiliano 0685561474
  3. gentleman92

    Tunatengeneza body za magari

    tunatafuta soko kaka
  4. gentleman92

    Tunatengeneza body za magari

    serio, usijalii kka chuma inatoka mda si mrefu
  5. gentleman92

    Natafuta fundi wa furniture za chuma

    heloo habarii za jion wana jamii forurm natafuta fundi wa kutengeneza furniture za chuma mfano vitanda vya chuma meza za chuma na uremboo mbali mbali za chuma ambaye yuko tayarii kuanzisha ofice mahali aliee tayarii tuwasiliane kwa no 0672153636 kwa maelezo zaid
  6. gentleman92

    Tunatengeneza body za magari

    Tunatengeneza body za kisasa za magari ya mizigo 1: Fuso 2: Canter 3: Tandam Tunapatikana Dodoma Chamwino, Kidumo Garage. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane 0719 510 956. bei zetu ni nafuuu Karibuni.
  7. gentleman92

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    walimu bana anaanza kukopa benki akimaliza ana top up akimaliza anahamia saccos anahamia vikoba anahamia salary advance anahamia m power anahamia tala anahamia m kopa baada ya hapo anahamia dukani kwa mangi hapoo sasa ndo paleee anapoamua ku bet ili maisha yaendeleee
  8. gentleman92

    Natafuta mchumba

    wataogopa kwenda angazaa eeeeh
  9. gentleman92

    Natafuta mchumba

    hahah kwa nn
  10. gentleman92

    Natafuta mchumba

    naitwa jurnia from moshi nina miaka 26 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo umri : miaka 18-24 elimu ; kiwango chochote rangi: yoyote bt asiwee mweusiii tiiiiii tiiiiii umbo: napenda mweny umbo wastani asiwe mnene napenda modol na sifagiliii wowowowooooo dini :yoyote awe tayarii kuchek...
  11. gentleman92

    Msaada uloleta uadui

    hata sijasoma ila najua ww tu ndo hujaelewa huenda mwalimu wako pia alipata kazi mbona wenzako wote wameelewa
  12. gentleman92

    Msaada uloleta uadui

    hahahah kaka
  13. gentleman92

    Msaada uloleta uadui

    hahaha kaka it depend ni type gan ya mwanamkee ninaemkubalii sijawahiii fagiliaa msambwandaa hata mara mojaa binafsii napenda mwanamke potable easy to carry , mwembamba wastan kashep flan hiv amaizing kifua kidogo wastan hapo nashawishika kwa kweli bt si msambwandaa
  14. gentleman92

    Msaada uloleta uadui

    siku moja nlikuwa natoka handeni kwenda dar , nikapanda ksk bus ambayo ni luxury kama hiyo yako , wakati imeanza safari , kituo kinachofuata alikuja dada mmoja , mzurii na kajaaliwa nyamaa nyama zilee vijana tunapenda kuitaa msambwandaa , aliingia akanisalimiaa kishaa akakaaa kweny siti...
Back
Top Bottom