Recent content by Genspare

  1. G

    Dr. Mpango, unda task force ya kufuatilia risiti za EFD, serikali inapigwa sana

    Ushauri mzuri. Lazima tukusanye Kodi kwa maendeleo ya taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    Sijui nimeathirika na Nyeto au La !

    Wakuu mpeni ushauri mzuri huyu bwana. Amekuwa muungwana kusema na anania ya dhati kuacha lakini ni ngumu kuacha. Huyu bwana ameathirika kiukweli. Kuacha ni ngumu, ila inahitaji maombi kwa kweli. Wengi wetu tumepita hapo na pengine tunaendelea kwa siri. Kama tumeacha, tumetumia njia zipi mpaka...
  3. G

    Waziri Mkuu amemsimamisha kazi Naibu Kamishna wa Uhamiaji Makao Makuu

    Niliwahi kuishi Jijini Stockhom Sweden, kitongoji kinaitwa Renkeby. Hili Eneo limitekwa na Wasomali na wahamiaji wengine hivyo wazungu waliokuwa wanaishi hapa nao wakasepa. Hawataki kuchanganyika na wahamiaji. Biashara nyingi hapa Renkeby zinaendeshwa na Waturuki, Waarabu na wahamiaji wengine...
  4. G

    Sijui Nimtafune?

    Tenda wema uende zako
  5. G

    Kupitia mechanic engineering unaweza kujiajiri kama nani?

    Tupia darasa lako ili tukushauri vizuri nini unaweza fanya!
  6. G

    Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

    Wakati mwingine ni ngumu kuacha!
  7. G

    Wanaume we have to be humble kwa wake zetu

    Sasa kama ameinakili sehemu atafanyaje? Nae ameshindwa kuitafsiri kwa Kiswahili. Technique tu!
Back
Top Bottom