Recent content by Geno

  1. Geno

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Vipi kuhusu TGS E_ F?
  2. Geno

    Degree bora duniani

    Lmv,urp and land surbeying
  3. Geno

    Degree bora duniani

    Well said
  4. Geno

    Degree bora duniani

    Na degree zote zinazotelewa na chuo cha ardhi....
  5. Geno

    Ukatili wa Polisi Arusha:Mbunge Joyce Mukya anyimwa kumnyonyesha mtoto mchanga mwenye miezi Miwili

    Kwa mtizamo wangu naona hata mama wa mtoto ni mkataili... kwa nn amuache mtoto wa miezi miwili aende kwenye mkutano? Kisheria mtoto anatikwa aanze kubaki na wazaidizi kuanzia miezi mitatu....
  6. Geno

    Mkutano wa dr ndugulile kibada., nilichojifunza.

    jamani tujuze mkutano ulikuwa unahusu nini??? Na yaliyoongelewa yana manufaa gani kwetu kwa watu wa kigamboni?
  7. Geno

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Mm nakushauri kama ndio nyumba yako ya kwanza na hela ni za kudunduliza kama mm uanze na nyumba ndogo kwanza ila angalau upate maahali pa kujisitiri wakati unajipanga kujenga nyumba kubwa kama uliyosema.... Gharama za ujenzi wa nyumba ambayo ina sqm 90 ambayo itakuwa na jumla ya vyumba...
  8. Geno

    Full text: Hotuba ya kambi rasmi ya upinzani (wizara ya ardhi) na. Mhe. Halima mdee

    Yangu macho... mbona hao mafisadi wa ardhi hawajatjwa??
  9. Geno

    Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    Mm nadhani mchungaji kama mjumbe wa baraza la halmashauri ya manispaa iringa.. angetafuta njia mbadala ya kuwasidia hao wamchinga ni sio kupambana na serikali... au ndio tuseme hashiriki katika maamuzi ya halmashauri??? Wakati wa maamuzi ya kuwa wamachinga waondolewe yy alikuwa wapi???
  10. Geno

    Hi!

    Helo wana Jf. Naomba tujadili hili swala la baadhi ya watendaji wa serikali kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi. Then tume inaundwa inalipwa mamilion ya fedha at the tume inaleta majibu kuwa sio mafisadi then wanarudishwa kazini.
Back
Top Bottom