sijakupa fact ya ukristo tu nimekupa na sayansi kifo ni usingizi ni sawa na kulala kwasababu hauogi hauli damu inaganda kisayansi hapo mwili huaribika lakini wewe unakuwa umelala ndio kifo.
Inamaana unategemea mtu akifa anenda kuzimu inamaana hafi hebu jaribu kufikiria nje ya box fuata fact...
sijakupa fact ya ukristo tu nimekupa na sayansi kifo ni usingizi ni sawa na kulala kwasababu hauogi hauli damu inaganda kisayansi hapo mwili huaribika lakini wewe unakuwa umelala ndio kifo.
Inamaana unategemea mtu akifa anenda kuzimu inamaana hafi hebu jaribu kufikiria nje ya box fuata fact...
Unajua walio mbinguni wanaweza kuja duniani kama ameenda mbinguni mngemuona akiwajia kama malaika lakini mbinguni sio sehemu ya wafu ili mtu aende mbinguni lazima awe kiumbe hai.
yesu ni mfano alienda mbinguni akiwa hai
source? trust me broo
Hakuna maelezo ya kimaandiko au kiushahidi nani uliona roho yake inasafiri ? mkuu upo serious roho inasafiri
unajua maana banadamu ni nini hebu soma kitabu cha mwanzo cha uumbaji kisha kasome na sayansi hivyo vitu vya kusafiri kwa roho umetoka navyo wapi ?.
mimi nina...
Kama ukifa unapaa mbinguni mtu akifa msilie ameenda mbinguni kwanini mnalia ? kama sio hivyo basi mnatambua kuwa suala la kwenda mbinguni ni uongo.
Nendeni makaburini mkawaangalis kama wamefufuka na hawapo makaburini ? kama wapo.basi ni.uongo mmedanganywa kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au ya...
Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa.
Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula.
Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea...
Ukimya wa wakuu wa majeshi juu ya mauaji na utekaji ya halaiki ya watanzania inatupa picha kuwa hatuna viongozi sahihi kwenye jeshi, wanaua nchi.
Mambo haya hayavumiliki wamesahau wajibu wao wanajifanya vipofu sijui wanasiasa wapumbavu na washenzi walioingia juzi juzi tu hapa wamewaloga au...
Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni.
Kwa hii serikali haramu sishangia kusikia star tv imekataliwa iuuzwa kwa wahuni na hakuna utawala wa kisheria ndio sababu kuu ya kuanza kuiba na...
Hakuna ndege inayoingia iran wala kutoka hata Qatar na saudia ndege zimepungua haziendi na watu wamekimbia makombora, angala la iran limejawa na makombora jaribu kutokea mipakani
Hata kwa kufanya hivyo hadhabu suo kifo ni kunyume cha sheria sikuna mahakama, nikikwambia watu wame uwawa kwasababu hawamtaki samia na sio visingizo vya vurugu utabisha ? hadi watoto amewapa kesi za uhaini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.