Kimsingi kuku sio miongoni mwa wanyama, Ndege au viumbe wenye sumu.
Na hata tunapoona nyoka amekufa kwa sababu ya kuku swala sio sumu bali ni jeraha alilopata, na mara nyingi nyoka hawa ni wadogo wa majumbani ,
Lakini nyoka kama black mamba , cobra ni hatari sana kwa kuku.
Na kinachotokea...
Biblia inaposema Kwa roho ya eliya , Eliya miujiza ilikuwa sio msingi wa huduma yake msingi wa huduma ya eliya ni kurejesha mahusiano ya watu na Mungu (Toba).
Ndio maana utaona Kwa habari ya eliya Eliya kuwauwa manabii baari lengo ni kurudisha uhusiano kati ya watu na Mungu
Na hiko kitu...
Wakati wa kujibu hili swali lazima tuangalia kipi kilileta maswali kuhusu Eliya, lakini kingine je Eliya kama Eliya halisi alikuja hakuja? jibu alikuja , na ndio maana wanafunzi walipomwona walijua maandiko yametimia na waliuliza Ili kupata ukweli juu ya Yesu kama ndie kristo maana hata kipindi...
Kosa sio la kamfed kaa vzr ni mtoto wako Kwa kawaida hiyo taasisi hupita shuleni na sio mtaani ,
Ikifika shule inahitaj kuonana na watoto wenye mazingira magumu Ili iwasaidie baadhi ya mahitaji
Kinachotokea ni mtoto wako kajiorodhesha mwenyew kama ni muhitaji na hao wanamsaidia maana yeye ndio...
Usemalo ni kweli ila unachokosea ni kufananaisha kanisa la gwajima na la mbarikiwa ambaye hana hata matawi 10 tz wakati gwajima ana matawi ya kanisa lake nje ya nchi kma japani n.k na tz anayo Karibu kila mkoa nayeye ndio mwanzilishi anayo zaidi ya 100+ kwahyo sio wa kumkadiria
Level ya gwajima...
Sikuwahi kuona huu Uzi before ila baada ya kuuona Leo Kwa mara ya kwanza na kuupitia ni dhahiri mengi yaliyoandikwa yametokea na mengine yanaendelea.
Hadi naanza kujiuliza ni maono au mambo yanayoendelea Huwa yanapangwa before then wanawekwa watu kuyatekeleza na wengine kuyaishi.?
Kwasababu...
Nina uvimbe kwenye kifua na kwenye mbavu , nimekwenda hospital nimeishia kufanya x-ray baadae baada ya majibu ya x-ray hakujafanyika tiba isipokuwa nikatakiwa nifanye CT scan ya kifua
baada ya CT scan majibu yalivyotoka nikaambiwa nifanye Biospy yaani Kwa kifupi Toka nianze kuhudhuria hospital...
Nina uvimbe kwenye kifua na kwenye mbavu , nimekwenda hospital nimeishia kufanya x-ray baadae baada ya majibu ya x-ray hakujafanyika tiba isipokuwa nikatakiwa nifanye CT scan ya kifua
baada ya CT scan majibu yalivyotoka nikaambiwa nifanye Biospy yaani Kwa kifupi Toka nianze kuhudhuria hospital...
Mm nikiwa na arosto naenda huko Kwa Sasa Kwa 1000 unapata safaru 10 ambazo unaweza kuzitumia kusoma ep 5. , soma maelezo Kuna namna ya kulipa Kuna namba zimewekwa na ufafanuzi wa Nini Cha kufanya nje ya kubofya BUY NOW.
Yah na ndio maana mm sijashaur mtu aweke hiyo 1m na hata hiyo uliyoweka wewe Bado sioni kama ni maamuzi mazuri Sana japo hatufahamiani Wala kuingiliana kwenye matumizi
Ila kama ningekuwa ni mimi siwezi wekeza 15M Ili nipate 1.5k Bado ni uzembe kiutafutaji huo mtaji ni mkubwa sana unaweza...
Angalia hapo nimescreenshort kma ukiweka 1M Kwa mwezi unapata hiyo
Yaan utie M usubiri 9000 sibora ukopeshe watu mtaani 100000 Kwa 120000 katika 1 M unaweza pata Chochote 🤣🤣🤣
Tumia chartgpt kuulizia Kwa njia ya customer care hutowapata Kwa urahisi binafsi niliperuzi hola ila Kwa njia hyo ndio nkapata maelekezo. Ni uwekezaji mzuri ila unahitaj pesa ndefu maana kinachotoka ni Cha kivivu.
Na uwekezaji unaanzia 1000/= na kuendelea na pia unaweza kuwekeza kuanzia week 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.