Recent content by genesis_

  1. genesis_

    Kuna uwezekano Dkt. Tulia akafanya mazungumzo na Rais wa Marekani Joe Biden

    Mkuu, hujawahi kuhisi kwamba huyu jamaa kazi yake ni kuona kiwango gani wananchi wana maoni gani kuhusu serikali iljyopo madarakani? Watu wanapokuwa tempered ni rahisi sana kuropoka chochote kuhusu utawala uliopo, huyu jamaa kazi yake ni kuangalia majority inasema nini kuhusu serikali. Hakuna...
  2. genesis_

    Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Huwezi fanya mjumuisho kwa mpumbavu mmoja ukaniunganisha na mimi humo dada. huo ni upotofu!
  3. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Mkuu, Binafsi huwa nafurahishwa na watu kama wewe, kusema ukweli kama huu unahitaji boldness(ujasiri) mkubwa sana. Mimi nimemuuliza kwanini unawafananisha walawi na wasandawe au wanyakyusa kwa mantiki ya wote wanafanya kazi za kilawi. Kwa madai yake walawi hawakuruhiswa kuwa na ardhi hivyo...
  4. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Wewe hatuwezi kuendelea kujenga hoja yesu kristo amefata nini katika walawi wasioruhusiwa kuwa na ardhi na ni kabila la makuhani? Kama huwezi kujibu maswali yangu mepesi kwanini wasandawe unawafananisha na walawi basi, hujajibu swali lolote nililouliza zaidi ya kuruka ruka. Asubuhi njema.
  5. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Nimekubali kushindwa kwako. Siku njema🤝
  6. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Mbona hujibu maswali? Embu fata mtiririko sahihi “Kazi zao ni sawa na zile za walawi” walawi hawakuruhusiwa kuwa na ardhi? Kama ndio je hawa wanyakyusa na wao hawajaruhusiwa kuwa na ardhi? Mbona maswali mepesi utaki kujibu? Nimekuambia kwanini unachukua tamaduni za jamii fulani kuziweka...
  7. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Bado ujajibu swali. Umesema walawi walikuwa hawana ardhi na lilikuwa kabila la makuhani kama nitakua nakosea nirekebishe,hivyo wanakula madhabauni. Kwanini uchukue mila na tamaduni za kwao uje kupachika kwangu mimi msandawe? Huoni kama unajaribu kuzi standardize hizo sheria kwenye universal...
  8. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Si msikitini wala kanisani, Japo nimemueleza fungu la kumi linapaswa kupelekwa wapi. Bora apeleke pesa kwa wenye uhitaji, personal ni bora apeleke kwa wenye uhitaji kuliko kupeleka pesa kwa kitu kinachodai ni muweza wa yote halafu ananiomba pesa yangu. Kama atashindwa kufanya hivyo nimempa...
  9. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    sasa walawi wanahusiana vipi na mimi msandawe? Tena bora umetupa elimu nzuri.
  10. genesis_

    TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Mkuu, Ndugu niliyemjibu hapo juu alifanya conclusion kwamba privacy iheshimiwe ni kama alikuwa anatuhumu. Nikwamwambia kwanini jf ni anonymous lakini kiongozi amepata picha zake? Je kama ameongea na familia aweze kutoa taarifa? Alichofanya yeye ni kutoa Taarifa hakuna sehemu ametoa kashfa au...
  11. genesis_

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Mkuu hiyo ela pelekea watu wenye uhitaji, japo fungu la kumi linapaswa kwenda kanisani. Nakuomba hiyo pesa pelekea watoto wenye kuishi mazingira magumu, kama utashindwa kufanya hivyo kula mbuzi choma mpaka hiyo pesa iishe. Kama ni mkristo agiza kitimoto nusu nusu mpaka pesa iishe utaongeza...
  12. genesis_

    TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Mbona unakosa utulivu, nimekuuliza marehemu anaweza kukukataza usiposti picha yake? Mbona unaulizwa lingine unajibu lingine? Kama jf ni anonymous kwanini usimuulize kapata vipi picha zake? Kama ni watu wanajuana?
  13. genesis_

    Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

    Mkuu twende No.3 nina aunt yangu alimpandia mtu kariakoo pale mpaka kumtoa mil28 na kodi analipa 600k kwa mwezi. Japo umetuwekea limit ila kuna biashara ya spare hii mkuu ukipata watu sahihi kutoboa ni 90%.
Back
Top Bottom